Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Sasa hao wasiozalisha hao ndio inabidi tupambane nao kuwakomesha na kuwatokomeza, asiyezalisha na asile.
 
nipe mbinu mkuu, ulifanya aje hadi faida ikaongezeka. wenzako tunaliwa hadi kwa odd ya 1.03
Bet haitaki tamaa! Mm ni mmoja wa waliofanikiwa mkekabet
Nilichofanya nilianza na mtaji wa laki 2, nikawa naweza odds za 1.3 au 1.4 au 1.5 maximum, so per match(bet) nilikuwa napata around 60000 hadi 70000 na kwa wiki nilikuwa nacheza mara 5 tu
Baada ya kufikisha mil.3 nikapandisha dau na kutupia mil.1 na faida ikawa laki 4 hadi 5 kwa mechi.
Leo hii nazungumzia mil.18 ambayo jumla nimewithdraw
 
Mimi nilienda nikafika 1.7M kwa mtaji wa laki...nikaingia tamaa yaliyonikuta siri yangu
Hiyo 1.7 mil ungetuliza akili ungefika 10mil fasta! Mi nilianza na laki 2, sasa iv nazungumzia mil.18 mkekabet hadi wamenichoka
Jana ya ajax yenyewe tu walimpa more than 3 odds nikawawekea laki 4, ikaja more than a million
Bet inalipa sana
Hyo 1.7mil ungetafuta odds za kimaskini zile za 1.2, 1.3, 1.4 ungekuwa na uhakika wa kupata laki 2 hadi laki 4 kila baada ya mechi
 
Ndio zangu mkuu..niliingia tamaa nikaipoteza yote..wakati ulitakiwa niende nayo taratibu tu
 
Forex ulikuwa ni ujinga wa hali ya juu! Bet mpira unachezwa unauona, yaan mfano leo liverpool anacheza vs barcelona, na liverpool kapewa odds ya 4, so ukiweka mfano mil.1 unapata mil.4
Na kweli unakuwa unaona kabisa liverpool kamfunga barca
 
hongera!swali je, hizo odd 1.3 unazitafuta ktk mfumo gani ambao unakufanya ubet mara nyingi bila kupoteza.
 
Sio kuzitafuta ni jinsi ww mwenyewe unavyoweza kucalculate risk, mfano leo barca kapewa 1.9 kama atamfunga liverpool, so ww waeza ona kabisa barca anashinda na ndio unampa
haya bhn but si rahisi ki hivyo. kwamba double chance?
 
haya bhn but si rahisi ki hivyo. kwamba double chance?
Sio double chance ni barca akishinda tu kawaida! Double chance ni barca ashinde au atoe draw na odds zake zinakuwa ndogo sana zaidi ya hiyo
Double chance barca kapewa 1.13
 
Sio double chance ni barca akishinda tu kawaida! Double chance ni barca ashinde au atoe draw na odds zake zinakuwa ndogo sana zaidi ya hiyo
Double chance barca kapewa 1.13
1xbet barca ana 1.28
 
Sio double chance ni barca akishinda tu kawaida! Double chance ni barca ashinde au atoe draw na odds zake zinakuwa ndogo sana zaidi ya hiyo
Double chance barca kapewa 1.13
sawa mzee
 

Mkuu kwani Dr Leakey aliajiriwa premierbet? Nadhani ni kwa sababu anafahamu sana mpira na wachezaji, karibu dunia nzima.
 
Ningekuwa nawala hela ya kutosha kwa kubet,nadhani kwa mwezi nisingekuwa nakosa m2 na point.
ifanyie cha maana iwe kumbukumbu
 

kweli,odd zikiwa nying uwezekano wakupigwa nimkubwa,zaid natumia"double chance" naujanja flani, aah mara change kukosa
 
Okay tuseme unachukua hizo odds za 1.2 na wager yako ni laki moja kila game lets assume hakuna kodi in winnings kwahio kila game faida ni elfu ishirini..

Ukishinda game 5 una laki moja faida kwa bahati mbaya ya sita ukishindwa you are back to square one faida yote imepeperuka..., odds ndogo does not necessarily mean value
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…