Mm binafsi nimekuwa active kwenye kubet tangu mwaka 2017 mwanzoni ila kabla ya hapo sikuwa kubet kabisaa na ukae ukijua mm sio mshabiki sana wa mpira hata ukipanga kikosi uwanjani unambie nioneshe namba tatu au nane mm sijui kwa kwel
Nilianzaje kubet?
Kipindi nipo chuo niliuwa nawatembekea jmaaa zangu nakuta maghetoni wanakula vizuri kipindi mm boom limekata nikawakuta na mikeka ya makaratasi yan premer bet na mm nakumbuka siku iyo nilicopy mikeka kama 12 iv kwa jero jero ila sikula hata mmoja ikawaga ivyo kila nikitoka chuo naenda kukopi mikeka kusema ukwel ni mchezo wa bahati niliwai shuhudia jamaa anahakikisha mkeka alishinda 8.7M kwa jero tu ndio nikaamin kama kwel pesa ipo, ila narudia ni mchezo wa bahati
Basi mm nikaachaga kubet uko kwenye karatasi kwasababu ya muda nikaanza kubet online nikafungua acc premer kipindi iko jmaa zangu hawajui sana kuhusu online coz wao walikuwa karibu na vibanda vya kubet alafu wanaona uvivu kutumia na bando juu
Nikaanza kwa kutafuta platforms zinazotoa predictions pamoja na head to head mwanzo nilianza kukopi predictions zao ila nikawa si shindi
Ikumbukwe mm huwa na sukaga majamvi ya timu kumi kwenda mbele na stake yangu imezidi ni buku mbili
Mwanzo nilikuwa nabet kila itwayo leo
Baada ya kuona napigwa sana kwa kukopi predictions nikanza kuangalia mwenyewe head to head na chambua vizur labda zimekutana mara tano uyu kashinda mara tatu zote akiwa home na leo tupo home basi mm nampa uyo au kila wakikutana hawatoi magoli zaidi ya matatu basi naeka under au wakikutana wanafungana sana naeka both time to score nikawa nimepata njia nzuri sasa unakuta naeka mkeka hata timu 17 inaharibu moja stake ni mwisho buku mbili hapo ndo nimeeka kubwa, badae nikawa nikawa nabet weekend tu yan jmos na jpili.
Mara ya kwanza kushinda ilikuwa mwezi kama watatu iv iyo 2017 nilieka timu 15 moja haikucheza siku iyo nikashinda milioni moja na elfu 19 [emoji5][emoji5][emoji5] kwa stake ya jero tu nikaamin kama kwel kuna pesa nakumbuka jamaa zangu wengi sanaa waliansa kubet kipindi iko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengi waliacha njiani wachache bado wapo na baba yetu wa hiati(kanji)[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wiki tatu badae nikashinda tena laki tatu kwa 25000 timu zilikuwa nane[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
Tangu nianze kubet sijawai pata hasra kwasababu na stake kidogo alafu nabet weekend tu mikeka miwili kila weekend
Sasa iv nataka niwe natafuta odds 20 tu nipunguze timu naamin ntafanya poa sana
Betting ni mchezo wa Bahati sanaaaaaaa ila kuna njia za kuongeza bahati
1. Stake kubwa timu moja ukizidi tano
2. Usibet direct win bet magoli kwenye magoli kuna options nyingi sana
3. Usiwe na tamaa ya kuongeza odds au stake pia jiekew limit sio kila siku unabet tu
4. Ukibet usifuatilie matokeo kaa mbali na mikeka yako ili usipate hamu ya kupandilia mikeka kama utachanika mm iyo inanisaidia sana nikibet nakuja kuchek mkeka keshoo yake mara nyingi sibetii timu kubwa na bet timu ambazo hata kanji hazijui
5. Pia fanya analysis kwanza kabla ya kubet japo ni mchezo wa bahati ila historia inajirudia
Asikudanganye mtu betting inalipa sanaaaaa kama unamtaji kama alivyofanya mleta mada,
Alafu betting sio utapeli ni kitu cha halalo utapeli ni izo tatu mzuka na kina biko. Mana betting unampa arsenal unaoba kabisa kapigwa inamna ulikosea
Pia tunalipa kodi kwenye kubet tena nyingi sana kama jamaa hapo amelipa pesa nyingi sana zaidi ya hata ya milioni 5
Huu ni mfano tu wa mkeka nilishinda mwezi wa kwanza hapo
View attachment 1083576
Iyo bonus unayoona ndio kodi ambayo nimekatwa hapo nilieka 2200 nikashinda laki nane kasoro kama buku tano
Ningetuma mikeka mingine niliyowai shinda sema nimebadili simu na uku ishafutikaga mwaka 2017 na 2018 ulikuwa mzuri kwangu ilikuwa karibia kila mwenzi nashinda mkeka kuanzia kiasi cha 300k kwenda juu, hii nikutokana na njia yangu ya kueka timu nyingi ni ngumu sana kushinda ila mwaka huu umekuwa mgumu kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]