Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Nina uhakika kwa sasa East Africa na nchi nyingi za Africa serikali inaigiza pesa nyingi sana kutoka kwenye betting; hivi unajua kuna 20% tax ya kila anayeshinda inaenda serikalini... ? Issue mimi ipo pale pale kwa muda mrefu hakuna strategy itakayokutoa kama full time business (unless unapata pesa nje ya betting kwa kuuza vitu vinavyotokana na betting) ndio maana ma so called Gurus wengi wanauza gambling systems na Vitabu badala ya wao ku-gamble peke yake..., kama watu wanafanya kama bahati nasibu n,k. ni sawa hata Bingo na Lottery kila siku watu wanabahatisha mamilioni ya pesa na wanashinda kuna Mkenya alishenda Sportpesa ila uwezekano wa kushinda ni mdogo sio kitu cha kutegemea, na bahati nzuri uambatana na mbaya sasa on average kama kuna siku nzuri na siku mbaya ila kwenye uzuri unapata nusu kikombe na ubaya unawapa kikombe kimejaa utaona kwamba kuna uwezekano mkubwa siku ya mwisho pipa litakuwa tupu
Upo sawa. Ila Kuna watu wanaishi kwa betting. Kila weekend wanabet na hawana kazi ingine zaidi ya betting. Kuna mtu hana njia ingine ya kipato kabisa ukimuuliza unatoa wapi hela ya bet anakwambia nikishinda naacha ya bet next week na ana mtaji wa kutosha.
 
Sijauliza umechangia nini kwenye makusanyo ya serikali maana hiyo ni kutoa pesa mkono wa kulia na kuhamishia wa kushoto. Nauliza, UMEZALISHA NINI kwenye uchumi wa taifa?
Amezalisha PESA
 
Mwaka 2015 kabla sijaingia Mozambique nilikua na bet ila vitasa sana kun day nikauza memory card yangu elf 7 then nikaingia betting na plan mpya nikaondoa tamaa ya pesa nying nikaanz katka elf7 kila buku nikaweka Tim 2 odd 2.20 au 2.40,2.35 ,2.50 jumla tiket 7 kwa ujumla nazipa win so kwa siku iyo nikaweka mikeka 7 kuja jion nimepga minne fail 3 pesa elf 17 ukitoa ile EF 7 faida elf 10 ndio ukawa mchez wangu huu, Aise ndan ya wiki nikawa na 70 na kitu faida sometimes EF 5 au 8 12 ef 9 kawaid nikagundua ni bora faida ndogo ya uhakika tena kwa kila siku kuliko kubwa roho mkononi dakk ya mwisho unapgwa unabak kapa.
 
Mkuu I repeat no one makes long term money in any football system long term.., its mathematically impossible.., nishafanya research ya all so called systems iwe fixed betting au kutumia kina fibonacci, martingale, hadi kwenye in play backing and laying..., watu wanao make fortunes ni bookmakers na wanaouza system kwa watu juu ya betting.

huwezi ukasema unamake fortune hata ungekuwa una billion ishirini na unabet Timu kama Real Madrid au Man City au Barcelona zenye 95% za kushinda odds sababu ni ndogo hata ukishinda mara 19 ile ya 20 bahati mbaya ukishindwa ukipiga hesabu if you are lucky unaweza ukajikuta umeshinda 10% au umebreak even realistically utajikuta umeloose big time; na hapo kama una-bet Africa haujaweka kodi (Tax on Winning) kwahio hizo odds unazoziona after Tax hio 1.5 au 2.5 sio hio bali ni way less....Its not a business if anytime you can loose all of your cash niambie ni nani kazi yake ni betting na anaishi kwa hizo betting na sio kuuza vitabu, systems au Tips
Facts gambling is not a business
 
Niko off mwaka mzima huu, nagusagusa sikumojamoja nikiwa bored. 2017 nilipiga fainda ndefu, 2018 nilkula nikaliwa. Haya mambo usipokua makini unaweza ukawa regenerate gambler ambayo huwez kuacha labda kifo kikutenganishe
Ukiwa bored au ukiwa umepungukiwa pesa.
 
Boss kwenye betting kuna vitu vingi mno, ambavyo kma sio mtu wabet ningum sna kuvielewa.

Nilishawai kupoteza ela ndefu mwishoni mwa mwaka 2017, nkaanza kubet kma mwehu kukimbizia ela ilioliwa sikuweza kuirudsha nkapoteza zaid, kichwa ilkua inapata moto balaa.
Kma ukiweza kuhandle vizur kamari hakuna chochote kinachoweza kua kigumu maishani mwako. Mfano jmaa amewin hio m15 siku akijapoteza 10m kwa siku au week naakaweza kuimudu hio situation vizur. Haya maisha hayatakua nachangamoto yoyote ambayo itamshinda
Kwa sio tunao bet pindi tukisema tufanye biashara naamini tutafanikiwa sana hasa yule anayeweka 100k apate 200k, kwa nini nasema hivi maana betting huwa inahasara sana kuliko biashara yoyote, nilishangaa jamaa analia amepata hasara ya 30k kwenye biashara ya machungwa lakini ameuza na amebaki na pesa, sasa biashara unapata hasara lakini sio zote Mtaji unaisha, bet stake au Mtaji unalika wote inakuwa total loss.
 
Nimeanua nitulie tu boss... Kanji ataniuaa mamaee zakee
Kama umetulia Ni Jambo zuri sana ninakuomba usirudi tena kuna jamaa hapo nimemuelewa sana amesema betting hata uwe na 1billion utafilisika na hata upate faida kama huyo wa 15mil bado utafilisika na kutumia za mfuko which means ukiwa na nyumba utauza, system yake iko hivo kabisa anayeiweza hapa bongo na wapi amna
 
Kama umetulia Ni Jambo zuri sana ninakuomba usirudi tena kuna jamaa hapo nimemuelewa sana amesema betting hata uwe na 1billion utafilisika na hata upate faida kama huyo wa 15mil bado utafilisika na kutumia za mfuko which means ukiwa na nyumba utauza, system yake iko hivo kabisa anayeiweza hapa bongo na wapi amna
Kweli mkuu Betting ni Ujinga sanaaa...
 
Back
Top Bottom