Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Mkuu Wall street msimu wa ligi kuu unaanza rasmi leo kwa Liverpool na Norwich City kufungua pazia la ligi. Tafadhali usisahau kuendelea kutupia tips hapa. Kumbuka sote adui yetu ni mmoja tu---Kanjibai. Aluta continua.

Pambana na hali yako mkuu, wanaojua maana ya betting huwa hawashauriani, NEVER!!!!!
 
O
 
aloo nimechukua ela ya bia kisa nimepita tu sehemu na nlikuwa na elfu hamsin mfukoni daaah nikaona ela yangu ya bia itazama nikaweka buku
mbill nikala shs sabin ndio imeniweka mpaka now kitaa nipo likizo, LEO LIGI INGEKUWEPO NINGEKANDAMIZA MILION NILE TATU, MAISHA YA KIHUNI NA UNA FAMILIA NI YA KINYAMWEZI SANA, elfu sabin kwa buku mbil wazeee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hongera broh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachojua Bets huwa haziko constant. Lazma uwe na strategy ya kubadilisha mitindo ya kubet. Mfano kuna game ukibetia corners huwa zina uhakika wa kutoa maybe kwa ratio ya 8:2 meaning probability ya kushinda mara nane out of 10 times. Hapo utaona ni rahisi kutengeneza faida zaidi kuliko hasara.

Sasa unatakiwa u capitalize kwenye mbinu husika. Sio kuegama kwenye 3 way huku unaungua deile! Binafsi over/under ndo style nayoiona iko promising kwa upande wangu.
 
Your basis of the argument is invalid(huo mfano wako wa kikapu)
Why ?
Sababu most of the betting company ni foreign companies wanakuja na mitaji yao.(their capital).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unataka kutapeli watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekandamiza mechi gani hizo mkuu? Mbona ligi zote duniani zimefutwa zimebaki ligi chenga tu?
 
Umekandamiza mechi gani hizo mkuu? Mbona ligi zote duniani zimefutwa zimebaki ligi chenga tu?

nilicheza ice hookey mbil na match za mexico jna u20 kina santos laguna na club america nilishau kupiga picha mkuu, me hadi ice hookey nachezaga ilimradi hela iingie, betting is fun


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nilicheza ice hookey mbil na match za mexico jna u20 kina santos laguna na club america nilishau kupiga picha mkuu, me hadi ice hookey nachezaga ilimradi hela iingie, betting is fun


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ni hivyo basi sawa mkuu maana mimi naishiaga kwenye football tu, hasa ligi kubwa.....hockey na michezo mingine huwa sigusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…