Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Mkuu kama bado upo hewani naomba utupie mikeka ya leo tukopi hakuna namna kiongozi wangu. Sote tunajenga nyumba moja hakuna haja ya kugombea fito.
 
Biashara iendelee ya upigaji,utawadanganya wajinga.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Parimatch wana option ya corner 4.5 first half.. Hii inatoa sana kwa timu kama Liverpool, Man city, Tottenham, ac Milan e.t.c zimenipa hela saana hizi timu msimu huu.
Option ya kona 4.5 first half ikoje kaka. Yani kupiga kona zenye idadi hio na kuendelea kwa timu zote mbili au
 
Option ya kona 4.5 first half ikoje kaka. Yani kupiga kona zenye idadi hio na kuendelea kwa timu zote mbili au
Idadi ya kona 5 kwa team zote mbili zikipatikana ni over zikiwa pungufu ni under
 
[emoji39][emoji39][emoji39]
 
We jamaa mart89 inabidi uongezee "s" mwanzoni mwa jina lako iwe ni smart.
 
Wazee, leo ni siku nyingine tena ya kumtafuta Kanji. Leteni mikeka tukopi basi.
 
Betting as an addiction huwa inasababisha other addictive behaviours kama ulevi, masterbation , drugs addiction n.k dopamine rush unayopata wakati wa kushinda na kufungwa ni mbaya sana . Inakufanya uwe katika excited state all the time. Ni ngumu sana kuacha kamari ukizingatia sasa hivi imesogezwa kiganjani . Mungu atunusuru tu
 
Your statement has no scientific proof or evidence
 
Huna tofauti na mkulimanwa matikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…