Nimetengeneza mahusiano na mdogo wa Mpenzi wangu wa Zamani

Nimetengeneza mahusiano na mdogo wa Mpenzi wangu wa Zamani

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
Nilikuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu, lakini tuliachana miaka mitatu iliyopita. Hivi karibuni, alihamia karibu na ninapoishi, na sasa ana mtoto na anaishi na mtu mwingine, ingawa mara nyingi hayupo nyumbani. Tumekuwa na mazoea ya kawaida, kama vile kufua nguo zangu na kuniletea chakula.

Baada ya miezi kadhaa, mdogo wake alikuja kuishi naye. Siku moja, nilimwona mdogo wake akichuma malimao kwenye mti wetu. Nilimuita nikachukua namba na tukaanza kuchati. Usiku mmoja, nilipokuwa nimelewa, nilimwita mdogo wake aje nyumbani kwangu. Alipofika, nilimvuta ndani.

Baada ya tukio hilo, tulianza kuchati na mdogo wake alikubali kuwa na mimi. Hata hivyo, dada yake aligundua mawasiliano yetu na akakasirika sana. Alimtimua mdogo wake na sasa kila mtu anajua kilichotokea, na mimi najisikia aibu.

Sasa, dada yake ananiangalia kwa hasira na ananilaumu, ingawa tulishaachana zamani. Naomba ushauri, je, huyu dada bado ana mapenzi na mimi? Kwa nini anakasirika ?

AU NIRUDISHE MAJESHI NYUMA NIENDELEE KULA TUH MAANA MZURI BANA UONGO MBAYA [emoji16]
 
Mke wa mtu anakufulia nguo na kukuletea chakula?
Na bado unamgongea mdogo wake?

Utakufa kijinga sana we jamaa!
Mdogo wake mzuri sasa me nifanyaje, halafu anachura flan flan hivi la kuvalia kanga yan sio kubwa Wala sio dogo daah akitmbea sasa [emoji39][emoji7]
 
Nilikuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu, lakini tuliachana miaka mitatu iliyopita. Hivi karibuni, alihamia karibu na ninapoishi, na sasa ana mtoto na anaishi na mtu mwingine, ingawa mara nyingi hayupo nyumbani. Tumekuwa na mazoea ya kawaida, kama vile kufua nguo zangu na kuniletea chakula.

Baada ya miezi kadhaa, mdogo wake alikuja kuishi naye. Siku moja, nilimwona mdogo wake akichuma malimao kwenye mti wetu. Nilimuita nikachukua namba na tukaanza kuchati. Usiku mmoja, nilipokuwa nimelewa, nilimwita mdogo wake aje nyumbani kwangu. Alipofika, nilimvuta ndani nikakatupia kwenye sofa nikarumbua kitumbua kinguvu

Baada ya tukio hilo, tulianza kuchati na mdogo wake alikubali kuwa na mimi. Hata hivyo, dada yake aligundua mawasiliano yetu na akakasirika sana. Alimtimua mdogo wake na sasa kila mtu anajua kilichotokea, na mimi najisikia aibu.

Sasa, dada yake ananiangalia kwa hasira na ananilaumu, ingawa tulishaachana zamani. Naomba ushauri, je, huyu dada bado ana mapenzi na mimi? Kwa nini anakasirika ?
Ukikua utaacha
 
Mke wa mtu anakufulia nguo? Mume wake akikuita ukaangalie runinga utamlaumu?
Kwani me mshamba wa runninga [emoji1][emoji1][emoji1] halafu mmewake naskia boxing [emoji3037] sijui ni kweli au vipi [emoji38]
 
Emeenjoy vifaranga vyote bado kuku mwenyewe duh

Kwa kutembea na mdogo mtu umemtusi sana dada mtu
 
Mke wa mtu anakufulia nguo? Mume wake akikuita ukaangalie runinga utamlaumu?
Ndio tena ananifuliaga Yale majinsi magumu kabisa bila hata brash namtolea 10 yote anafua Hadi na mashuka yangu
 
Back
Top Bottom