Nimetengeneza Online E-library

Aurelio_CSM

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
57
Reaction score
22
Habari za jioni Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwaka huu nlifanikiwa kutengeneza software ambayo nlitumia html,css,javascript na php na inahusiana na masomo ambayo imebase zaidi kwa shule za sekondari.

Mpaka sasa hv shuleni kwangu tunaitumia ninaomba ushauri wenu jinsi gani naweza nikaimprove mpaka sasa hv ina periodic table, dictionaries za lugha kama 5 , scientific calculator, physics calculators, chemistry calculators including periodic table calculator.

Naomba ushauri wenu kitu gani nikiongeze na pia kama kuna mtu anayetaka kujua zaidi au kama utataka niiuzie shule yako.

Unaweza kunitumia email kwa aureliochelestino@gmail.com na 0759060408

Jioni njema
 
Kwanza sio "Online E-library", ni "E-library. Pili hongera kwa hayo mafanikio. Pili hizo tools ulizotaja nadhani zinadeal na Web development/database n.k. kwahyo usijekuwa kuwa tu umedevelop offline database website na ukainadi kuwa ni software. Na kama ni software basi hongera sana, kibongo bongo you rock!

Ningeshauri uwe na website yako iliyo na taarifa zako pamoja na huo ubunifu wako, pamoja na Prototype. Prototype ni kama 3D visualization ya hiyo product yako kwaajili ya kuhighlight how it functions, technology yake n.k. Hapo utahitaji mtu kama mimi (Motion graphics designer/3D animator) kufanya hiyo kazi.

Hii kitu kama ni kweli inaweza kuwa ndo maisha yako, yaani ndo umetoka hivyo...kikubwa ni marketing, narudia tena "MARKETING". Mwisho kabisa andika barua ya utambulisho na kuomba kuonyesha ulichofanya kwenda kwenye mawizara ya sayansi, mawasiliano na elimu na kwenye TV stations.

................WAHI KABLA UMRI HAUJAENDA ILI UWE NA REKODI YA MTANZANIA WA KWANZA MDOGO KUWA SOFTWARE DEVELOPER...............................
 
nimekosea sio software ila ni website ambayo ni kama e-library ambamo kuna e-books na vitu vingine vingi
 
tusitoe tu hongera wakati sample ya kazi yake hatujaiona
 
kidato cha tatu kufanya haya makubwa hvy naomba nikuweke kwenye TZ record BOOK
 
kidato cha tatu kufanya haya makubwa hvy naomba nikuweke kwenye TZ record BOOK
Nimepata domain soon ntaweka link yake muweze kuiona ila still i need the support from u guys. THANKS FOR THE LIKES AND APPRECIATIONS MAY THE ALMIGHTY LORD BLESS YOU ALL. AMEN
 
Hongera sana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Naisubiri nione nitoe comment, ila kwa mtanzania form three ku-come up with something hata kama ni kdg ni a very big step, manake hua napenda kuwaambia watu wasome programming mapema sana tokea chini wakifika huku juu wasikutane na challenges ambazo wengine tumekutana nazo kuanza programming college tena nchi za watu unakuta 80% ya wenzako wote walisoma tokea high school unabaki kukesha kufukuzia muwe level moja... Keep up the good work,
 
This is very impressive

Form 3 tayari unaandika mistari,safi sana

Iweke online tukupe ushauri na pia kama mmoja wa wachangiaji hapo juu alivyosema,nenda COSTECH pale maeneo ya sayansi uangalie namna unavyoweza kutambulika na pengine watakupa Msaada zaidi wa kujifunza na kuendeleza project ikakutoa kimaisha, maana wewe ni wa pekee aisee
 
hakuna kinachonifurahisha kama kuona mtanzania anafanya vitu vinavyoeleweka, keep it up Mungu akuongoze. watu wa aina hii ndo watakaoibadilisha Tanzania yetu.
 
Nimewatumia email bado nasubiri nione watanijibu vipi. ASANTE SANA
 
Nimewatumia email nasubiri majibu. ASANTE SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…