Aurelio_CSM
Member
- Oct 14, 2014
- 57
- 22
Habari za jioni Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwaka huu nlifanikiwa kutengeneza software ambayo nlitumia html,css,javascript na php na inahusiana na masomo ambayo imebase zaidi kwa shule za sekondari.
Mpaka sasa hv shuleni kwangu tunaitumia ninaomba ushauri wenu jinsi gani naweza nikaimprove mpaka sasa hv ina periodic table, dictionaries za lugha kama 5 , scientific calculator, physics calculators, chemistry calculators including periodic table calculator.
Naomba ushauri wenu kitu gani nikiongeze na pia kama kuna mtu anayetaka kujua zaidi au kama utataka niiuzie shule yako.
Unaweza kunitumia email kwa aureliochelestino@gmail.com na 0759060408
Jioni njema