Aurelio_CSM
Member
- Oct 14, 2014
- 57
- 22
- Thread starter
-
- #21
asantehakuna kinachonifurahisha kama kuona mtanzania anafanya vitu vinavyoeleweka, keep it up mungu akuongoze. Watu wa aina hii ndo watakaoibadilisha tanzania yetu.
asante sanahakuna kinachonifurahisha kama kuona mtanzania anafanya vitu vinavyoeleweka, keep it up mungu akuongoze. Watu wa aina hii ndo watakaoibadilisha tanzania yetu.
asantenaisubiri nione nitoe comment, ila kwa mtanzania form three ku-come up with something hata kama ni kdg ni a very big step, manake hua napenda kuwaambia watu wasome programming mapema sana tokea chini wakifika huku juu wasikutane na challenges ambazo wengine tumekutana nazo kuanza programming college tena nchi za watu unakuta 80% ya wenzako wote walisoma tokea high school unabaki kukesha kufukuzia muwe level moja... Keep up the good work,
asante sana