Nimetengeneza Online E-library

Nimetengeneza Online E-library

naisubiri nione nitoe comment, ila kwa mtanzania form three ku-come up with something hata kama ni kdg ni a very big step, manake hua napenda kuwaambia watu wasome programming mapema sana tokea chini wakifika huku juu wasikutane na challenges ambazo wengine tumekutana nazo kuanza programming college tena nchi za watu unakuta 80% ya wenzako wote walisoma tokea high school unabaki kukesha kufukuzia muwe level moja... Keep up the good work,
asante
 
Pongezi sana, pia ukiongeza na masomo mengine pia itasaidia sana
 
Back
Top Bottom