kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Baada ya baba yangu kutoweka duniani nimekataliwa kuwa sio mmoja wa familia.Nimekulia kijijini baba yangu alikuwa anaishi mjini.
Kutokana na kutokunitambulisha kwa ndugu na kuwatambulisha dada zangu pamoja na kaka zangu, baba wadogo na shangazi wanadai mbona wao hawakutambuliswa!
Kwa msaada wenu mnafikiri nini nifanye ili nami nipate haki yangu?
Pole sana, apo waombe hao ndugu zako wakusaidie katika masomo yako usiende kama unataka mali hutopata msaada wowote na kisheria kama hakuna ndugu wa baba yako anayekutambua unakua hauna haki ya kurithi izo mali usiwaze sana kiasi wanachingiza kwa mwezi.