Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Kama watoto wanakula wanasoma mnaishi kwenu , mafuta kwenye gar hayakosekani , ndugu wanafurahia uwepo wako sioni chakukushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChaiNilikuwa nasikia tu sasa nimethibitisha, halafu kale kamsemo cha "pata hela tujue tabia yako" ndio kamekuwa fimbo ya kuadhibu
Nachanga mtu akiumwa,nachanga mtaji wa ndugu zangu kwa ajili ya biashara its fine, lakin harusi ntakufikiria kama nawe zako nakulagaMichango ya harusi 🙂 🙂