Mr Suprize JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 869 Reaction score 961 Dec 26, 2023 #21 Kama watoto wanakula wanasoma mnaishi kwenu , mafuta kwenye gar hayakosekani , ndugu wanafurahia uwepo wako sioni chakukushauri
Kama watoto wanakula wanasoma mnaishi kwenu , mafuta kwenye gar hayakosekani , ndugu wanafurahia uwepo wako sioni chakukushauri
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Dec 26, 2023 #22 Dx and Rx said: Nilikuwa nasikia tu sasa nimethibitisha, halafu kale kamsemo cha "pata hela tujue tabia yako" ndio kamekuwa fimbo ya kuadhibu Click to expand... Chai
Dx and Rx said: Nilikuwa nasikia tu sasa nimethibitisha, halafu kale kamsemo cha "pata hela tujue tabia yako" ndio kamekuwa fimbo ya kuadhibu Click to expand... Chai
Yofav JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 4,236 Reaction score 7,583 Dec 26, 2023 #23 Na unasave sh.ngap?
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Dec 27, 2023 #24 Kiranga said: Michango ya harusi 🙂 🙂 Click to expand... Nachanga mtu akiumwa,nachanga mtaji wa ndugu zangu kwa ajili ya biashara its fine, lakin harusi ntakufikiria kama nawe zako nakulaga
Kiranga said: Michango ya harusi 🙂 🙂 Click to expand... Nachanga mtu akiumwa,nachanga mtaji wa ndugu zangu kwa ajili ya biashara its fine, lakin harusi ntakufikiria kama nawe zako nakulaga