Nimetimiza miaka 10 ya ulevi, leo 9 octoba ni maadhimisho

Nimetimiza miaka 10 ya ulevi, leo 9 octoba ni maadhimisho

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,659
Habari wakuu

Nipende kuwataarifuugu jamaa na marafiki though taarifa imechelewa

Mnakaribishwa saana katika hii siku muhimu na yakihistoria maishani, ni miaka 10 sasa imetimia tangu nilivyoanza kunywa bia na mpaka sasa maisha yanaendelea vizuri ni kujirusha tu maisha ya biaaa


Nimeandaa hafla fupi hapa nyumbani kwangu, kwa aliekaribu na mbezi mwisho kwa yusuph anakaribishwa na unywaji bia uendelee mpaka majogoo
 
Hahaha... Dah nimebaki nacheka tu na maisha ya mtandaoni
Just imagine kuna mtu ana amini anafunga safari hadi eneo la tukio kwa ajili ya kumpongeza mwenzetu....
 
Back
Top Bottom