1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Nlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
40 duhhh!Vunga vunga adi utoboe 40 mkuu.
Arobaini bado mapema. Afanye 45 maana ujana ndiyo huwa unaishia hapo.Vunga vunga adi utoboe 40 mkuu.
40 duhhh!
Mmh mkuu umetoboa 40Hivyo hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]apo kweli, atakutana na vikongwe wenzake.Arobaini bado mapema. Afanye 45 maana ujana ndiyo huwa unaishia hapo.
Aiseeeh,, arobain bado mapemaArobaini bado mapema. Afanye 45 maana ujana ndiyo huwa unaishia hapo.
Si ndio mkuu, wee kula ujana bana kuoa kupo tuu..40 duhhh!
Bado sana---lakini naona huo ndio umri mzuri wa kuingia kwenye ndoa kwa sababu lile joto la msukumo wa Tabia za Ujana linakuwa limeanza kupoaMmh mkuu umetoboa 40
Kwani atataka kuoa sasa mkongwe mwenzake? Atakuwa analia Mingo watoto wa darasa la saba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]apo kweli, atakutana na vikongwe wenzake.
Kumbe mimi niliwahi sana kuoa nikiwa na 26Nlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32
Miaka 30 hapo kwa madentKwani atataka kuoa sasa mkongwe mwenzake? Atakuwa analia Mingo watoto wa darasa la saba[emoji23]
Single father [emoji23]Sawa
Hongera
Vipi hata katoto ka kusingiziwa hamna?!
Arobaini bado mapema. Kwani umeshahama nyumbani kwenu? Kama bado muda wa kuhama ndiyo ukiwa na miaka 40.Aiseeeh,, arobain bado mapema
Arobaini bado mapema. Kwani umeshahama nyumbani kwenu? Kama bado muda wa kuhama ndiyo ukiwa na miaka 40.
Usikubali kuondoka kabla ya hapo, utakosa haki zako za msingi kama mtoto.
Kwani mnaogopa sasa?Miaka 30 hapo kwa madent
Hongorea mkuu,,Kumbe mimi niliwahi sana kuoa nikiwa na 26
Hongera singo faza!Single father [emoji23]