1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #41
Utayari na uthubutu haukuwepo.Ulikuwa mkubwa sana!
Ilipaswa uwowe papo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utayari na uthubutu haukuwepo.Ulikuwa mkubwa sana!
Ilipaswa uwowe papo hapo
Kwa nini no?!Yeeh! !!miaka 25 ndoa! !!aise mimi big no
Hahahahahha hapana sikumaanisha hivyo.Hehehe! Hii ni satire[emoji23]
Pole.Utayari na uthubutu haukuwepo.
Hata mhusika naye alikuwa na ndoto kubwa, naye bado hajaolewa yupo yupoUlikuwa mkubwa sana!
Ilipaswa uwowe papo hapo
Ameshapoteza haki zake za msingi kama mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vyema sana nadhani hapa umesha mjibu cute b:
Kwa nini no?!
Mbona unakuwa unaweza kumkula mtu?! Muone kwanza
Safi sana. Ndiyo nzuri hiyo.Mimi kila nikitoka home narudi!.
Yaani bila kuamka nisalime shkamoo baba, mama nahisi niko shimoni
LolAmeshapoteza haki zake za msingi kama mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo muowane sasa hizo ndoto mwachieni YusufuHata mhusika naye alikuwa na ndoto kubwa, naye bado hajaolewa yupo yupo
Pole ya nn sasa, ningeoa tungetifuana labdaPole.
Na kuoa si mnawowana?!Hahaa lol. ..kwani si tunakulana. .kwani utamu napata peke yangu
Kwani haujachoka kulala mwenyewe?Dah mi Nina 29 hapa, Nina Kila kitu maisha Ila sina mke tu,Kuna mda najiuliza maswali ya msingi hivi mke zaidi ya watoto atanipa Nini Cha maana ambacho saivi zikipati??? Kweli tuoe tu lakini kwajinsi nilivyo kamilika hapa na jinsi nilivyo na furaha kama kungekuwa na ndoa za kukutana weekend tu nadhani zingekuwa zinatufaa sisi wengine.
Mungu sijui aliwaza nini kusema tuoe labda siku nikioa naweza kujua.
Una pesa,biashara,kazi,una kula vizuri, unajua kutongoza,una hobbies zako kibao,una furaha ukiwa mwenyewe,una uhakika wa kupata mwanamke mwingine yeyote mzuri. Sasa why kuoa?kwanini tuoe wenzetu wazungu wanajua marriage is not for men.
Kuna mda natamani kuoa sana,Kuna mda nawaza hivi nikioa sio ndo mwanzo wa kunihamishiwa mastress yake na mahuzuni yake kwenye maisha yangu yaani nitoe mali,nichangishe watu kusogeza stress kwenye maisha yangu?Ila yote kwa yote, hayo ni mawazo tu ngoja nioe nijionee mwenyewe
Mimi kila nikitoka home narudi!.
Yaani bila kuamka nisalime shkamoo baba, mama nahisi niko shimoni
Hahahaha hahah mkuu tuvute jiko ndani,,Dah mi Nina 29 hapa, Nina Kila kitu maisha Ila sina mke tu,Kuna mda najiuliza maswali ya msingi hivi mke zaidi ya watoto atanipa Nini Cha maana ambacho saivi zikipati??? Kweli tuoe tu lakini kwajinsi nilivyo kamilika hapa na jinsi nilivyo na furaha kama kungekuwa na ndoa za kukutana weekend tu nadhani zingekuwa zinatufaa sisi wengine.
Mungu sijui aliwaza nini kusema tuoe labda siku nikioa naweza kujua.
Una pesa,biashara,kazi,una kula vizuri, unajua kutongoza,una hobbies zako kibao,una furaha ukiwa mwenyewe,una uhakika wa kupata mwanamke mwingine yeyote mzuri. Sasa why kuoa?kwanini tuoe wenzetu wazungu wanajua marriage is not for men.
Kuna mda natamani kuoa sana,Kuna mda nawaza hivi nikioa sio ndo mwanzo wa kunihamishiwa mastress yake na mahuzuni yake kwenye maisha yangu yaani nitoe mali,nichangishe watu kusogeza stress kwenye maisha yangu?Ila yote kwa yote, hayo ni mawazo tu ngoja nioe nijionee mwenyewe
Na kuoa si mnawowana?!
Amekuwa msanii sasa anatoa nyimbo, asa mm na hizo mambo hatutawezana aiseeh,,Ndo muowane sasa hizo ndoto mwachieni Yusufu