1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #201
Now dayZamani miaka 32 ni mtu na familia ya watoto watatu
Hahaha kaopoa humu humu jf itakuaSiku hizi naskia kuna mrembo mmoja amemshika, hana kauli
Yupo kwa baba na mama anakula msosi wa kengeleNow day
Siku hizi mambo tafrani[emoji134]Zamani miaka 32 ni mtu na familia ya watoto watatu
Hahahahahha miaka hiyo ndiyo mizuri chini ya hapo wana kuwa miili tuu huku akili zimegoma[emoji23]Kama ulikuwa kichwani mwangu.
Wengine wanakua miaka tu mwili na akili vinagoma.Hahahahahha miaka hiyo ndiyo mizuri chini ya hapo wana kuwa miili tuu huku akili zimegoma[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mkorofiiii.Wenhine wanakua miaka tu mwili na akili vinagoma.
Hahaha hahahaYupo kwa baba na mama anakula msosi wa kengele
Hahaha alinambia sema nimesahau ID ya yule mremboHahaha kaopoa humu humu jf itakua
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mapema sana aisee mimi nilihama nilipotimiza 40
Wenhine wanakua miaka tu mwili na akili vinagoma.
Watu madeko[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kamtu unakakuta unashindwa kuelewa ni mtu mzima au mtoto, ukija kujumlisha na akili kugota ndio kabisaaaa unaweza hisi ana 20 kumbe 40[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mkorofiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah hii comment
Si mchezoWatu madeko
Aaaaaaa acha hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi nawe mwili umegoma?
[emoji23]Si mchezo
Mwanangu mbona unacheka[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Umegonga ikulu mweeKamtu unakakuta unashindwa kuelewa ni mtu mzima au mtoto, ukija kujumlisha na akili kugota ndio kabisaaaa unaweza hisi ana 20 kumbe 40[emoji134][emoji134][emoji134]