Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mkorofiiii.
Kamtu unakakuta unashindwa kuelewa ni mtu mzima au mtoto, ukija kujumlisha na akili kugota ndio kabisaaaa unaweza hisi ana 20 kumbe 40[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Umegonga ikulu mwee
 
Back
Top Bottom