Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Introvert kiwango cha juu
 
Nlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32
wewe ni mzee sasa sio kijana.
 
Kamtu unakakuta unashindwa kuelewa ni mtu mzima au mtoto, ukija kujumlisha na akili kugota ndio kabisaaaa unaweza hisi ana 20 kumbe 40[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahhahahahhahahaahhahahahhah.
 
Hahahahahha. What about no for an answer.?

Unataka tukaishi kwenye lile gheto Dreka?
Hapana,
mtoto mzuri kama wewe siwezi kukuweka kwenye ghetto maana itakuwa ni disrespect.

But I may not be in position to take NO for an answer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…