Utaniweka kwenye mansion, yes? Sure I will have a great time there.Hapana,
mtoto mzuri kama wewe siwezi kukuweka kwenye ghetto maana itakuwa ni disrespect.
But I may not be in position to take NO for an answer.
Hope my proposal has been accepted wholeheartedly.Utaniweka kwenye mansion, yes? Sure I will have a great time there.
I have to accept your proposal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyota yangu ni virgo. Sijui ndio sifa zake hizo kupata mizigo kirahisi rahisiYaaan mzee Dreka unajichukulia hivi hivi mbele yangu, dah una nyota
Sema kweli chief.Dah hongera, ila fanya mambo mana mtoto CUTE hajapata wa kumtuliza humu
Nani mzigo? I mean unamfananisha nani na mzigo? This is cruel!!!!Nyota yangu ni virgo. Sijui ndio sifa zake hizo kupata mizigo kirahisi rahisi
OhoooDah hongera, ila fanya mambo mana mtoto CUTE hajapata wa kumtuliza humu
Naunga mkono hoja.Arobaini bado mapema. Afanye 45 maana ujana ndiyo huwa unaishia hapo.
We si umeona yuko free hajafungamana huyoSema kweli chief.
Acha hizo wewe hizi ruga za kiumeni,, mbona umepanikNani mzigo? I mean unamfananisha nani na mzigo? This is cruel!!!!
And you are Disqualified.
Sawa mkuu naufanyia kazi huu ushauriKama mtu anatamani ndoa/watoto, I'd advice them to marry as early as he possibly can. Nadhani kati ya 28..32yrs hapo ni umri mzuri wa kuoa/kuolewa, Mungu akikujalia watoto hadi ukifika 35yrs umemaliza kuzaa unaanza kazi ya malezi.
Mambo ya kuzaa ukiwa 40's sio kabisa, japo to each his own.
Unatambuaje hilo mkuu ?We si umeona yuko free hajafungamana huyo
Natengua kauliNani mzigo? I mean unamfananisha nani na mzigo? This is cruel!!!!
And you are Disqualified.
Yuko free sana,, hana contract huyu,,, ila kwa kuwa nishaongea hivi,, basi atakukazia kishenzi [emoji23][emoji23]Unatambuaje hilo mkuu ?
Ushauri wako nimeupokea kwa mikono yote. Nitaufanyia kazi ASAPKama mtu anatamani ndoa/watoto, I'd advice them to marry as early as he possibly can. Nadhani kati ya 28..32yrs hapo ni umri mzuri wa kuoa/kuolewa, Mungu akikujalia watoto hadi ukifika 35yrs umemaliza kuzaa unaanza kazi ya malezi.
Mambo ya kuzaa ukiwa 40's sio kabisa, japo to each his own.
Tuombeane uzima mkuuSafi sana mkuu Dreka.
Nlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32