Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Hapana,
mtoto mzuri kama wewe siwezi kukuweka kwenye ghetto maana itakuwa ni disrespect.

But I may not be in position to take NO for an answer.
Utaniweka kwenye mansion, yes? Sure I will have a great time there.
I have to accept your proposal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama mtu anatamani ndoa/watoto, I'd advice them to marry as early as they possibly can. Nadhani kati ya 28..32yrs hapo ni umri mzuri wa kuoa/kuolewa, Mungu akikujalia watoto hadi ukifika 35yrs umemaliza kuzaa unaanza kazi ya malezi.

Mambo ya kuzaa ukiwa 40's sio kabisa, japo to each his own.
 
Kama mtu anatamani ndoa/watoto, I'd advice them to marry as early as he possibly can. Nadhani kati ya 28..32yrs hapo ni umri mzuri wa kuoa/kuolewa, Mungu akikujalia watoto hadi ukifika 35yrs umemaliza kuzaa unaanza kazi ya malezi.

Mambo ya kuzaa ukiwa 40's sio kabisa, japo to each his own.
Sawa mkuu naufanyia kazi huu ushauri
 
Kama mtu anatamani ndoa/watoto, I'd advice them to marry as early as he possibly can. Nadhani kati ya 28..32yrs hapo ni umri mzuri wa kuoa/kuolewa, Mungu akikujalia watoto hadi ukifika 35yrs umemaliza kuzaa unaanza kazi ya malezi.

Mambo ya kuzaa ukiwa 40's sio kabisa, japo to each his own.
Ushauri wako nimeupokea kwa mikono yote. Nitaufanyia kazi ASAP
cute b njoo tuufanyie kazi huu ushauri
 
Hapo unaweza kuwa umekosea. Usisubiri bila malengo.
Kuoa ni kupanga uzazi.
Naomba nikuulize maswali ya ufahamu.

1. Unataka uwe na watoto wangapi? Kwa kuachana miaka mingapi? 3? 4? ...

2. Je ukiwa na miaka 60 unataka mwanao wa mwisho awe na umri gani?
Awe amemaliza chuo kikuu?

3. Je mchumba awe na umri gani?
Hii ni muhimu kwani mwanamke anafikia ukomo wa uzazi salama umri unaposogea.

Utaona kuwa sio rahisi unavyodhania kama unataka familia bora na iliyoelimika.
Nlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32
 
Back
Top Bottom