1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #161
Sawa mkuu,,Na mimi n nikifika 27 ntaoa...!
Utayari na uthubutu ulikuwa badoUlikuwa wapi hadi 32..
Cute B ulisha marry ?Arobaini bado mapema. Afanye 45 maana ujana ndiyo huwa unaishia hapo.
Unataka ukae [emoji23]Cute B ulisha marry ?
Nimekuelewa mkuu32 mimi nilikuwa tayari ninawake 2 na watoto 5. We jamaa tumia vizuri raslimali
Ndio mkuuUnataka ukae [emoji23]
Mkuu vuta tuNdio mkuu
nataka kuvuta jiko japo sijafika 30 bado
Sijapata response yake mkuuMkuu vuta tu
Ngoja ajeSijapata response yake mkuu
Huku Ntwara tunasema nke ya ntu sumu.
Poa poaNgoja aje
Kwa hiyo tuanze kutuma maombi amaNlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32
Bado. Kwa nini?Cute B ulisha marry ?
Sawa mkuu,, fanya mamboMimi nishagonga 35 hapa, sina mke, sina mtoto. Mwakani inabidi nioe tu au nipate mtoto.
Sometimes nafikiria hizi hustling zangu namfanyia nani sasa.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Tuma maombiKwa hiyo tuanze kutuma maombi ama
Dhambi sio zinaa peke yake tunatenda dhambi nyingi Sana ukiacha zinaa.Kama hujui kwa nini unaoa basi usioe endelea kuzini ila ukumbuke zinaa ni uchafu na chukizo kwa Mungu
Mapema sana aisee mimi nilihama nilipotimiza 40Miaka 32 kuhama nyumbani ni mapema? ?