Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Ni vyema pata ushauri wazazi, wajomba, shangazi au kwa mzee yeyote, wakupe ushauri wa kukueleza binti yupi anafaa umuoe pia hata wewe mwenyewe kama kuna binti umempenda, basi usisite kuwaeleza hao niliokutajia, epuka ushauri wa marafiki, usikurupuke, la mwisho usisahau kwenda kupima afya zenu kwa pamoja, MAAMBUKIZO YA UGONJWA WA HOMA YA INI, NA UKIMWI
 
Back
Top Bottom