Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
-
- #41
Kiasi mwisho wake inazowea na inakaa kwenye damu baada ya kuokoa matatizo unajenga matatizo mkuuNi kweli Pombe ni mbaya ila unaweza kunywa kiasi ,hata bible imeandika hivyo.
Sijakuelewa mkuu unaamanisha nini?Umeanza kuwa mji..
Nashukuru mkuu msalimie babu aspirinPombe ni tamu UKIP control lakini ili ku control ni norma
Mwambie muhudumu akuongezee moja kama iyo unayokunywa...Hapo watakao msingizia JPM eti ndie kakusababishia watachuma dhambi!!!
JPM hajatimiza miaka 4 tangu aingie madarakani.
Uliacha enzi "watu tunachezea" hela
Pole kwa masikitiko mkuuKiukweli umenisikitisha sana kwa kitendo hicho cha kinyama cha kuacha pombe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vyuma vikikaza bhana utayasikia mengi
Sema ana haki ya kuacha. Mtu gani unakunywa hela yote kama vile kaambiwa TBL inafungwa keshoSavings??? Pombe sio mbaya kama unakunywa kiasi na sio kila siku upo bar.
Very True,Lazima unywe kidogo na kuhakikisha pombe haisimamishi maendeleo ya familiaSema ana haki ya kuacha. Mtu gani unakunywa hela yote kama vile kaambiwa TBL inafungwa kesho
Sina tamaa tena na pombe mkuu
Saa imepita ujue, hapa penyewe wanasema muda wa kunywa bado.Sema ana haki ya kuacha. Mtu gani unakunywa hela yote kama vile kaambiwa TBL inafungwa kesho
Wanazingua hawaSaa imepita ujue, hapa penyewe wanasema muda wa kunywa bado.
Hatari sana mkuuSema ana haki ya kuacha. Mtu gani unakunywa hela yote kama vile kaambiwa TBL inafungwa kesho