Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂Mojawapo kuwa karibu na kumfurahisha mungu
Pombe ni haramu kwa munguWeka ushahidi ya kwamba Mungu amefurahi!
Ameen kiongoziHongera sana,sio kazi rahisi kuchomoka kwenye ulevi...
Ni uamuzi wa busara mkuu nimeamuaI feel sorry for your loss. Utaachaje kitungi!!?
Hahahahahah........haya bana! Mzee wa upako anakata nyagi kabisaPombe ni haramu kwa mungu
Ahsante kiongozi wangu dingimtoto:Hongera mkuu kwa kupiga hiyo hatua
Barikiwa sana [emoji120]Ahsante kiongozi wangu dingimtoto:
[emoji23][emoji23][emoji23] Hongera mkuutuko pamoja mkuu
nimeanza pia, kufika tarehe 30 mwezi huu ntakua nimetimiza mwezi mmoja
Ameen na kwako piaBarikiwa sana [emoji120]
Ahsante mkuu barikiwa sanaMAAMUZI MAZURI SANA!!!!!!!!11
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongera sana mkuu