Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
-
- #61
SitumiiOk keep it up... ila siku ukitamani, nitafute nina galon za kutosha za ulanzi wa kizungu.
Naomba kuambatanisha pichaSitumii
Haaaahaaaa....bora uache kimyakimya aseeNiaibu na fedheha kubwa sana kwa mwanaume kujipambanua eti umeacha pombe....
Nimezipata salamu zako. Barikiwa sana mjukuu mwemaNashukuru mkuu msalimie babu aspirin
Perhaps frequecy of conjugation doubled to his partner!. Mengine uwongo!Ni mafaniko yapi umeyapata baada ya kuacha kunywa pombe?
HahahaahaaaaPerhaps frequecy of conjugation doubled to his partner!. Mengine uwongo!
Weka ushahidi ya kwamba Mungu amefurahi!Mojawapo kuwa karibu na kumfurahisha mungu
Hahahaaha! Muhuni sana huyu.Hahahaahaaaa
Situmii mkuuNaomba kuambatanisha pichaView attachment 820189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongera sana mkuuMi nina siku tisa sijachepuka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haaaahaaaa....bora uache kimyakimya asee
Nakazia!
Ahsante mkuu niliwamiss mno kakaNimezipata salamu zako. Barikiwa sana mjukuu mwema
Nashukuru sana kiongoziAisse hongera sana maana ni mtihani kwa kweli mgumu
[emoji23][emoji23][emoji23]Perhaps frequecy of conjugation doubled to his partner!. Mengine uwongo!