Ipo faida kama utatumia hayo mafuta ya uzima kuya convert na kutumika na penial gland ita fanya kazi ipasavyo. Kama watawa!
Ila kwakuwa ulimwengu wa sasa uko too sensual itakua ngumu kidogo maana ukitizama matangazo, music (videos & sauti), a lots of contents kwenye internet vitu vingi viko na mvuto wa kingono hii hufanya psycholojia ya watu wengi kuwa na mguso wa kingono tu.
Faida moja wapo ni uwezo wa kumbukumbu, creativity, kuwa na vision ya kuona matokeo ya baadae zaidi, na vitengo vingine hufanya kazi vizuri ndio maana ya torch/mwenge ni kuwasha uwezo wa juu. Ni concept ngumu kwa baadhi ya watu.
Hasara za kutumia vibaya mafuta/maji ya uzima nikupoteza uwezo wa juu na kupuuzia mambo ya msingi ya kimaisha, kuyumba kwa kinga ya mwili, n.k
Wewe vutapicha maji yaliyobeba DNA yako unampa kila mtu na ni best of you yakitoka kila sell ya mwili inashiriki kwenye huo mchakato alfu unatupa tu kizembe sio poa.
Lazima ufanye kwa uangalifu juu ya hilo sio kila mtu anastahili.
Shida watu wengi wanatarajia kupata majibu kirahisi kama vile tulivyo pewa shuleni tu, uhalisia haupo hivyo.