Nimetishiwa kuuawa, nifanyaje naomba ushauri

Patana na mwenzako, pesa na haki vinaweza patikani ukitia juhudi ya kutafuta, ila ukifa na kuacha watoto wako Hakuna anayeweza ziba pengo!

Mahakama inatoa adhabu na kuwajibisha watu wenye makosa, ila haviondoi Chuki na Kinyongo kati yenu, mazungumzo Upendo ndo vinasaidia!
 
Sawa broo
 
Tafuta haki yako kwa amani ukishindwa nenda polisi
 
Habari za muda huu wakuu,

Katika mihangaiko ya maisha na katika, harakati za kudai Haki yangu, nimejikuta nikitishiwa kuuwawa, lakini tatizo kuu! hakuna ushahidi wowote.

Je, kuna hatua gani za kufata kisheria katika hali kama hii?
Nenda Polisi, kajieleze watakufungulia RB.
 
Vipi kama akikataa kupatana na wewe au akataka kupatana na wewe kwa masharti, bado litabaki kuwa tatizo. Cha msingi mtu akiamua kukuua anakuua, kupatana haisaidii. Ishu ni kukubali tu kwamba lolote linaweza kutokea ila usimlegezee atakuzoea
Patana na mwenzako, pesa na haki vinaweza patikani ukitia juhudi ya kutafuta, ila ukifa na kuacha watoto wako Hakuna anayeweza ziba pengo!

Mahakama inatoa adhabu na kuwajibisha watu wenye makosa, ila haviondoi Chuki na Kinyongo kati yenu, mazungumzo Upendo ndo vinasaidia!
 
Vipi kama akikataa kupatana na wwm au akataka kupatana na ww kwa masharti. Bado litabaki kua tatizo. Cha msingi mtu akiamua kukuua anakuua. Kupatana haisaidii. Ishu ni kukubali tu kwamba lolote linaweza kutokea ila usimlegezee atakuzoea

Ok
 
Tafuta mtu mzima hata Mwenyekiti wenu wa mtaa mpe taarifa na eleza hiyo haki unayoitafuta uwenda si haki yako...
Baada ya hapo panda hatua nyengine..
 
Habari za muda huu wakuu,

Katika mihangaiko ya maisha na katika, harakati za kudai Haki yangu, nimejikuta nikitishiwa kuuwawa, lakini tatizo kuu! hakuna ushahidi wowote.

Je, kuna hatua gani za kufata kisheria katika hali kama hii?
IGP na Jeshi lake lilishaacha kulinda raia na mali zake. Yupo busy na CCM. Kwani wewe huoni mawe na kuchomewa moto nyumba za wapinzani mbele ya Polisi huku Jeshi hilo likuwa kimya?! Mura jiongeze. Wapi ile panga ulificha? Weka kiunoni.
 
Patana na mwenzako, pesa na haki vinaweza patikani ukitia juhudi ya kutafuta, ila ukifa na kuacha watoto wako Hakuna anayeweza ziba pengo!

Mahakama inatoa adhabu na kuwajibisha watu wenye makosa, ila haviondoi Chuki na Kinyongo kati yenu, mazungumzo Upendo ndo vinasaidia!
One of the best comments! Hongerah Mkuu!
 
Mm nilisha tishiwa kuuwawa. Nilichokifanya ni kukimbia polisi na kutoa taarifa.jamaa akawa mnaogopa lakini alishapanga hadi watu na silaha kabisa. Usiombe mzee baba
 
Back
Top Bottom