Valenciaga
Member
- Jul 4, 2020
- 44
- 61
Sawa brooPatana na mwenzako, pesa na haki vinaweza patikani ukitia juhudi ya kutafuta, ila ukifa na kuacha watoto wako Hakuna anayeweza ziba pengo!
Mahakama inatoa adhabu na kuwajibisha watu wenye makosa, ila haviondoi Chuki na Kinyongo kati yenu, mazungumzo Upendo ndo vinasaidia!
Bila ushahidi?Nenda kareport tu kwa usalama wako
Sawa broo
Ushahidi gani unaoutaka?Bila ushahidi?
Nenda Polisi, kajieleze watakufungulia RB.Habari za muda huu wakuu,
Katika mihangaiko ya maisha na katika, harakati za kudai Haki yangu, nimejikuta nikitishiwa kuuwawa, lakini tatizo kuu! hakuna ushahidi wowote.
Je, kuna hatua gani za kufata kisheria katika hali kama hii?
Patana na mwenzako, pesa na haki vinaweza patikani ukitia juhudi ya kutafuta, ila ukifa na kuacha watoto wako Hakuna anayeweza ziba pengo!
Mahakama inatoa adhabu na kuwajibisha watu wenye makosa, ila haviondoi Chuki na Kinyongo kati yenu, mazungumzo Upendo ndo vinasaidia!
Unapo ripoti ndo unaweka ushahidi ikitokea umeuwawa kweli watajua Kwa kuanzia..Bila ushahidi?
Vipi kama akikataa kupatana na wwm au akataka kupatana na ww kwa masharti. Bado litabaki kua tatizo. Cha msingi mtu akiamua kukuua anakuua. Kupatana haisaidii. Ishu ni kukubali tu kwamba lolote linaweza kutokea ila usimlegezee atakuzoea
IGP na Jeshi lake lilishaacha kulinda raia na mali zake. Yupo busy na CCM. Kwani wewe huoni mawe na kuchomewa moto nyumba za wapinzani mbele ya Polisi huku Jeshi hilo likuwa kimya?! Mura jiongeze. Wapi ile panga ulificha? Weka kiunoni.Habari za muda huu wakuu,
Katika mihangaiko ya maisha na katika, harakati za kudai Haki yangu, nimejikuta nikitishiwa kuuwawa, lakini tatizo kuu! hakuna ushahidi wowote.
Je, kuna hatua gani za kufata kisheria katika hali kama hii?
One of the best comments! Hongerah Mkuu!Patana na mwenzako, pesa na haki vinaweza patikani ukitia juhudi ya kutafuta, ila ukifa na kuacha watoto wako Hakuna anayeweza ziba pengo!
Mahakama inatoa adhabu na kuwajibisha watu wenye makosa, ila haviondoi Chuki na Kinyongo kati yenu, mazungumzo Upendo ndo vinasaidia!