Nimetoa Wosia kwa Mwanangu, usomeni hapa!

Mzee anaongea vitu vingine havimake sense na vingine haviapply kwa hawa chips kuku,,,mzee kazaliwa kizazi cha giza mwambie mambo yamebadilika,,,,,,incase mtu unaona huelewi elewi moja haikai mbili haisimami baki SINGLE 🤝enjoy maisha life lenyew fupi hili yanini kujistress na mtu uliyekutana nae ukubwani bwana wee.
 
wosia wa mama Kwa mtoto wake👇

"mwanangu nilikutana na mama Yako akiwa bikra"

jaji mfawidhi wewe wakike au wakiume?
 
WOSIA WA MAMA KWA MWANAYE KUHUSU NDOA

1. Mwanangu, ukiona unatumia pesa kwa mwanamke na hajawahi kukuuliza kama unaweka akiba au kuwekeza, na anaendelea kufurahia tu, usimuoe huyo mwanamke.

2. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mke mzuri kwako, wengine wanaweza kuwa mama mzuri kwa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambaye ni kama mama kwako, watoto wako na familia yako, tafadhali usimuache.

3. Mwanangu, nikikuambia wewe ni kichwa cha familia, usiangalie mfukoni mwako; angalia kama utaona tabasamu usoni mwa mke wako.

4. Mwanangu, kamwe usimpige mwanamke wako, maumivu ya mwili wake si kitu ukilinganisha na jeraha la moyoni mwake, na hiyo inamaanisha unaweza kuwa katika hatari kuishi na mwanamke aliyejeruhiwa.

5. Mwanangu, enzi zetu tulikuwa na wake wengi na watoto wengi kwa sababu ya mashamba makubwa na mavuno mengi, lakini sasa hakuna ardhi tena ya kulima, kwa hiyo mkumbatie kwa karibu mke wako.

6. Mwanangu, usipoteze akili yako unapopata pesa zaidi, badala ya kutumia kwa miguu midogo isiyojua ugumu wa kazi yako, zitumie kwa mwanamke aliyesimama na wewe muda wote.

7. Mwanangu, nilipotupa mawe madogo au kupiga filimbi kwenye dirisha la nyumba ya baba yake mama yako, haikuwa kwa ajili ya ngono, ilikuwa kwa sababu nilimkumbuka sana.

8. Mwanangu, mama yako, Asake, alipanda baiskeli nami kabla sijanunua gari lile la kobe nje pale, mwanamke ambaye hatavumilia nawe mwanzoni mwa safari yako hafai kufurahia utajiri wako.

9. Mwanangu, kuna kitu mnaita feminismi, sawa, kama mwanamke anadai haki sawa na wewe nyumbani, gawanya bili zote mara mbili, chukua nusu na mwambie aanze kulipa nusu nyingine.

10. Mwanangu, nilikutana na mama yako akiwa bikira na nilichukua viazi zaidi kwa baba yake, kama humkuti mke wako bikira, usimlaumu, kile ambacho sikukueleza ni kuwa wanawake wetu walikuwa na heshima.

11. Mwanangu, sikupeleka dada zako shule kwa sababu nilikuwa mjinga kama wengi waliofikiria mtoto wa kike hawezi kuendeleza jina la familia, tafadhali usifanye kosa hilo, mafanikio ya wanawake wa siku hizi yamefanya jinsia ya kiume kuwa tu alama ya kawaida.

12. Mwanangu, mama yako aliwahi kunifungia nguo niliyokuwa nimevaa na karibu aichane kwa sababu alikuwa na hasira, sikuwahi kuinua mkono kumpiga kwa ajili ya siku kama hii, ili niweze kujivunia kukwambia kuwa sikuwahi kumpiga mama yako hata siku moja.

13. Mwanangu, enzi zetu, wanawake wetu walikuwa na uzuri wa asili zaidi, ingawa sitakudanganya, wengine walikuwa na michoro midogo ya wino mikononi mwao, ambayo mnaita tattoo siku hizi, lakini usisahau kwamba hawakuwa wanavaa nguo fupi zinazoonyesha sehemu za miili yao kama wanawake wa sasa.

14. Mwanangu, mimi na mama yako hatutaki kuingilia mambo yanayotokea kwenye ndoa yako, jaribu kushughulikia matatizo bila kutuambia kila mara unadhalilisha heshima ya ndoa yako na mwenza wako,usifungue mdomo wako bali tibu hilo tatizo. Kuna mengi huyajui tuliyo yapitia kwenye mahusiano yetu hakuna lazima wewe kuyajua.

15. Mwanangu, kumbuka nilimnunulia mama yako mashine yake ya kwanza ya kushona, msaidie mke wako kutimiza ndoto zake kama unavyoendelea kutimiza zako. Usije kusahau jambo hili mwanangu.

16. Mwanangu, usiache kututunza mimi Maliyawatu na mama yako, ni siri ya kuishi muda mrefu na kupata watoto watakaokutunza pia. Apandacho mtu ndicho huvuna mwanangu.Mimi Maliyawatu ninafanya hivyo Mwanangu

17. Mwanangu, omba na familia yako, kuna kesho usiyoijua, zungumza na Mungu anayejua kila kitu, kila siku.
Namba 13 sio wosia umemtambia
 
wosia wa mama Kwa mtoto wake👇

"mwanangu nilikutana na mama Yako akiwa bikra"

jaji mfawidhi wewe wakike au wakiume?
Diddy toka jana naogopa kukujibu, hivi Diamond alipotoka kwako anachechemea , ni ganzi ilimpata mguuni ama alijipaka mafuta yakawa yanamuwasha?
 
kuna kipengele tulifanya anaonekana hajazoea.ndiomana alichechemea.

nijibu swali langu sasa
 
Sasa Diddy, hili jina lako unaogopesha sana, mimi nakuogopa, hata kukujibu hapa nimejikaza tu, mda wowte unampaka mtu mafuta.
 
WOSIA WA MAMA KWA MWANAYE KUHUSU NDOA

1. Mwanangu, ukiona unatumia pesa kwa mwanamke na hajawahi kukuuliza kama unaweka akiba au kuwekeza, na anaendelea kufurahia tu, usimuoe huyo mwanamke.

2. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mke mzuri kwako, wengine wanaweza kuwa mama mzuri kwa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambaye ni kama mama kwako, watoto wako na familia yako, tafadhali usimuache.

3. Mwanangu, nikikuambia wewe ni kichwa cha familia, usiangalie mfukoni mwako; angalia kama utaona tabasamu usoni mwa mke wako.

4. Mwanangu, kamwe usimpige mwanamke wako, maumivu ya mwili wake si kitu ukilinganisha na jeraha la moyoni mwake, na hiyo inamaanisha unaweza kuwa katika hatari kuishi na mwanamke aliyejeruhiwa.

5. Mwanangu, enzi zetu tulikuwa wake wengi na watoto wengi kwa sababu ya mashamba makubwa na mavuno mengi, lakini sasa hakuna ardhi tena ya kulima, kwa hiyo mkumbatie kwa karibu mke wako.

6. Mwanangu, usipoteze akili yako unapopata pesa zaidi, badala ya kutumia kwa miguu midogo isiyojua ugumu wa kazi yako, zitumie kwa mwanamke aliyesimama na wewe muda wote.

7. Mwanangu, nilipotupa mawe madogo au kupiga filimbi kwenye dirisha la nyumba ya baba yake mama yako, haikuwa kwa ajili ya ngono, ilikuwa kwa sababu nilimkumbuka sana.

8. Mwanangu, mama yako, Asake, alipanda baiskeli nami kabla sijanunua gari lile la kobe nje pale, mwanamke ambaye hatavumilia nawe mwanzoni mwa safari yako hafai kufurahia utajiri wako.

9. Mwanangu, kuna kitu mnaita feminismi, sawa, kama mwanamke anadai haki sawa na wewe nyumbani, gawanya bili zote mara mbili, chukua nusu na mwambie aanze kulipa nusu nyingine.

10. Mwanangu, baba yako alinikuta bikra, alitumia siku mbili kunitoa bikra, kitanda kilivunjika zaidi ya mara tatu, nilichukua viazi zaidi kwa baba yake, kama humkuti mke wako bikira, usimlaumu, kile ambacho sikukueleza ni kuwa wanawake wetu walikuwa na heshima.

11. Mwanangu, sikupeleka dada zako shule kwa sababu nilikuwa mjinga kama wengi waliofikiria mtoto wa kike hawezi kuendeleza jina la familia, tafadhali usifanye kosa hilo, mafanikio ya wanawake wa siku hizi yamefanya jinsia ya kiume kuwa tu alama ya kawaida.

12. Mwanangu, mama yako aliwahi kunifungia nguo niliyokuwa nimevaa na karibu aichane kwa sababu alikuwa na hasira, sikuwahi kuinua mkono kumpiga kwa ajili ya siku kama hii, ili niweze kujivunia kukwambia kuwa sikuwahi kumpiga mama yako hata siku moja.

13. Mwanangu, enzi zetu, wanawake wetu walikuwa na uzuri wa asili zaidi, ingawa sitakudanganya, wengine walikuwa na michoro midogo ya wino mikononi mwao, ambayo mnaita tattoo siku hizi, lakini usisahau kwamba hawakuwa wanavaa nguo fupi zinazoonyesha sehemu za miili yao kama wanawake wa sasa.

14. Mwanangu, mimi na mama yako hatutaki kuingilia mambo yanayotokea kwenye ndoa yako, jaribu kushughulikia matatizo bila kutuambia kila mara unadhalilisha heshima ya ndoa yako na mwenza wako,usifungue mdomo wako bali tibu hilo tatizo. Kuna mengi huyajui tuliyo yapitia kwenye mahusiano yetu hakuna lazima wewe kuyajua.

15. Mwanangu, kumbuka nilimnunulia mama yako mashine yake ya kwanza ya kushona, msaidie mke wako kutimiza ndoto zake kama unavyoendelea kutimiza zako. Usije kusahau jambo hili mwanangu.

16. Mwanangu, usiache kututunza mimi Maliyawatu na mama yako, ni siri ya kuishi muda mrefu na kupata watoto watakaokutunza pia. Apandacho mtu ndicho huvuna mwanangu.Mimi Maliyawatu ninafanya hivyo Mwanangu

17. Mwanangu, omba na familia yako, kuna kesho usiyoijua, zungumza na Mungu anayejua kila kitu, kila siku.
Mbona ghafla kageuka kuwa Baba tena?
 
Mkuu mwambie mwanao atafute mwanamke mwenye makalio makubwa, tabia njema zinafundishika. Yapo makanisa, misikiti na jela pia ni chuo cha kurekebisha tabia
Naunga mkono hoja. Uzi ufungwe Sasa.

Wosia mrefu sana hata mtoto hatausoma. Atakuja kuusoma Tyr kashaoa na amekalia moto anakumbuka na kujutia laiti ningeusoma wote nisingeoa hii mbwa.

Too late 😭 😭 😔 😔!!
 
Ukifa mkataba wenu mliofunga kanisa katoliki na mkeo umekufa.
anakuwa huru , anaolewa na jamaa ambaye ulimpora na kama akiona hataki ndoa basi vijana wanajipigia show maana mda huo mjane anakuwa LISHANGAZI.
 
Back
Top Bottom