Yeye anakiuza hicho kiwanja hataki kujenga hapo. Kuhusu ujirani ni kweli ni vema kuishi kwa amani, ndio maana nimekuwa nikijishusha sana kwake kumuomba lakini hataki kabisa!!!!! Mwishoe nimeona niombe msaada wa ushauri kwenu wanaJF, nashukuru nimepata mwanga.Sema kwa kuwa ni jirani yako, kama na yeye atakuwa na mpango wa kujenga hapo ni vyema mkayaongea kabla ya kufika kwenye vyombo vya sheria... maana huenda baadae mmoja wenu akawa msaada kwa mwingine hapo baadae... ujirani mwema
Anzia kwa mtendj
Duh kumbe ni Police ndio maan ana dharau!!Hiyo ya kukata miti siwezi ni mirefu sana inatakiwa kukatwa kwa ufundi ili isiangukie nyumba. Kuhusu kumtandika makofi sina nguvu za kumpiga ni mwanamme. hahahahah mimi ni mwanamke. Kumlaza selo ni ngumu ni POLISI
Ahahahah yaan nikikerwa kitu huwa nataka kifanyike haraka sanahahaahhahhahha
Basi huyo mpige kwa sheria tu.. "Polluter Pay Principle"Yeye anakiuza hicho kiwanja hataki kujenga hapo. Kuhusu ujirani ni kweli ni vema kuishi kwa amani, ndio maana nimekuwa nikijishusha sana kwake kumuomba lakini hataki kabisa!!!!! Mwishoe nimeona niombe msaada wa ushauri kwenu wanaJF, nashukuru nimepata mwanga.
Pole sana,pia mikaratusi ( ucalptus if I am not mistaken) huwa inafyonza maji sana refer to land reclamation to different countries!Yaani huyo kaka ni jeuri sana (mkurya). Ananijibu kwa kiburi eti "hiyo miti ndio thamani ya kiwanja changu, sina mpango wa kujenga hapo, hicho kiwanja kiko sokoni. Labda nikate mti mmoja tu." Kiwanja kizima kimejaa mikaratusi, na kiko katikati ya nyumba za watu!!!!ππππππππ
Ni ngumu hiyo stickvibration
Mjumbe/balozi ni shost yake, na ndie kampa kazi ya kuangalia hicho kiwanja mtu asikate mti hapo!!!!Duh kumbe ni Police ndio maan ana dharau!!
Basi fanya kupeleka suala lako kwa mjumbe ili mmalizane kisheria zaidi. Akileta ujuaji nitafute nikupe mwanasheria makini ufungue kesi kotini
Unavyosema uko sahihi, ila sasa nikifanya haraka naweza kupata matatizo makubwa zaidi hasa ya kulipishwa hiyo milundaAhahahah yaan nikikerwa kitu huwa nataka kifanyike haraka sana
Kwani Mkuu,huna mume ambaye atakuwa anajibizana naye huyo Mkurya...watu wa kanda ya ziwa wakiona mahali anaishi mwanamke peke yake huwa wanamdharau sana hata kama atakuwa na mafanikio!Yaani huyo kaka ni jeuri sana (mkurya). Ananijibu kwa kiburi eti "hiyo miti ndio thamani ya kiwanja changu, sina mpango wa kujenga hapo, hicho kiwanja kiko sokoni. Labda nikate mti mmoja tu." Kiwanja kizima kimejaa mikaratusi, na kiko katikati ya nyumba za watu!!!!ππππππππ
Ahsante kwa ushauri mkuu mohammedbsrKweli kabisa anza kupeleka malalamiko yako kwa ofisi za Serikali za Mitaa, Diwani, Afisa Mtendaji n.k na baada ya kote huko ikishindikana, Kata MITI hiyo okoa maisha yako na ya familia,halafu kama kesi utapambana nayo baadae
yaani ni shida kwa kweli. na miti ni mirefu haswaaaaaaIlo eneo usiku si linatishaa,anaanzaje kupanda miti kwenye eneo la makazi ya watu
Changamoto kwakweli,mpeleke mahakamani tu
Ukiwa muoga sana utaonewa mnooUgumu unauleta wewe Mkuu
Ati miti iniozeshee mabati yangu au iifanye nyumba yangu kuwa na nyufa,kisaaa,!!!!Miti ndio inaleta thamani ya kiwanja chake...Aseee!!!kwangu mimi hio ni sawasawa na mende kuangusha kabati
Mimi jirani yangu ana mti mkubwa saaana wa mzambarao siku majani yakianza kudondoka na kunichafulia Ua wangu tu,Fasta kibarua anakweya juu na panga na kukata matawi yoote
Huyo jirani yangu mwenye huo mti alishanitishia polisi mara kuniroga mara aniletee barua ya wito kwa balozi hadi kachemka mwenyewe
Kwasasa kashanizoea[emoji1321]
Ahsante, usinichoke nitakuwa nakuomba ushauri mara kwa maraBasi huyo mpige kwa sheria tu.. "Polluter Pay Principle"
Yes ni kweli fuata sheriaUnavyosema uko sahihi, ila sasa nikifanya haraka naweza kupata matatizo makubwa zaidi hasa ya kulipishwa hiyo milunda
heee! kumbe ina madhara tena ya kufyonza maji!!!!Pole sana,pia mikaratusi ( ucalptus if I am not mistaken) huwa inafyonza maji sana refer to land reclamation to different countries!
Hata yeye alishaniambia ukitaka kinunue, nikamwambia sina hela. na kweli sina hela na sina hitaji nachoNunua hicho kiwanja cha huyo mkurya tu mkuu;hahah Nazingua mkuu