Nimetofautiana na jirani yangu, naombeni ushauri

Wewe kata hayo matawi tu yanayokwaruza nyumba na kama kuna mizizi iliyoelekea kwenye nyumba yako tafuta vijana waikate hiyo mizizi na mti utaendelea kukua tu bila shida yeyote ila hautaelekea tena kwako.Mpende jirani yako kama unavyojipenda,tumia busara tu ni ishu ndogo sana hiyo.
 
haya
 
Hiyo ya kukata miti siwezi ni mirefu sana inatakiwa kukatwa kwa ufundi ili isiangukie nyumba. Kuhusu kumtandika makofi sina nguvu za kumpiga ni mwanamme. hahahahah mimi ni mwanamke. Kumlaza selo ni ngumu ni POLISI
Duuhh !!
 
Nimekuja mbio nikajua ushapiga mtu ngumi cha kukushauri mkuu nenda katoe malalamiko yako serikali za mitaa ikishindikana mfikishe mahakamani mara moja
 
Back
Top Bottom