figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sitaki hata kuiona sura yake kwa pichaKwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za binqdamu zinavyofanyazi. Kkiufupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu mdo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote.
Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4)
Mungu anaweza kuiua Roho (Math. 10:28).
Roho ipumzike kwa amani.
Kwa miaka 5 sasa roho yangu imekataa, kuiangalia sura yake au kuisikia sauti yake.Sitaki hata kuiona sura yake kwa picha
2030 upinzani tunachukua nchi. Mark my wordsBado mtaongea sana. Mama Samia hadi 2030. Huenda tukamwongezea muda pia.
Kweli kabisa, hawezi kuua watu wengi hivi halaf abaki salama; haijapata kutokea popote dunianiKwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za binqdamu zinavyofanyazi. Kkiufupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu mdo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote.
Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4)
Mungu anaweza kuiua Roho (Math. 10:28).
Roho ipumzike kwa amani.
Hongereni.. Sina shida nawe unayeandika hivi. Unatetea matenbele ya mwanao asilale njaaBado mtaongea sana. Mama Samia hadi 2030. Huenda tukamwongezea muda pia.
Thread 'Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!' Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!2030 upinzani tunachukua nchi. Mark my words
Laiti angemalizia na kimwili tukamtupa kama jibwa kizimavii kwaoKwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za Binadamu zinavyofanyazi. Kifupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu ndo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote.
Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4)
Mungu anaweza kuiua Roho (Math. 10:28).
Roho ipumzike kwa amani.
Samia is done ni swala la muda tuu, atakimbia au ataishia kukamatwa2030 upinzani tunachukua nchi. Mark my words
Siyo tena 29.10.2025?nyambafu nyie2030 upinzani tunachukua nchi. Mark my words
Bado mtaongea sana. Mama Samia hadi 2030. Huenda tukamwongezea muda pia.
Bado mtaongea sana. Mama Samia hadi 2030. Huenda tukamwongezea muda pia.
Inatia kichefuchefuSitaki hata kuiona sura yake kwa picha