Nimetoka kumzika mshauri wangu wa afya alieniambia nitakufa muda mfupi kwa kumix energy drink na K Vant

INaonyesha una uwezo mdogo sana wa Akili.
Unapolekea utakuwa Upinde alafu useme usiingiliwe maisha yako ndio yanayokupa furaha.
Kuwa na akili K vant na Energy sio nzuri kwa afya yako acha ubishi.
 

Soma Mara ulichoandika usipojiona nipumbavu, then ujue waitaji msaada wa afya ya akili
 
Aliyefariki alifanya dhambi kubwa kukueleza madhara ya vinywaji vyako, hivyo unaona ni haki yake kufariki kama adhabu kwa alichokueleza? Andiko hili ni dhihaka na chuki kuu.
 
Bahati nzuri ni kuwa unaweza usife haraka baada ya madhara ya huo mchanganyiko, lakini ukateseka muda mrwfu. Magonjwa ya figo, ini, moyo na viungo sensitive kwenye nwili wa binadamu hayaui kwa kuugua siku moja ama mwezi. Unaweza kuteseka na maumivu yake hata miaka miwili au zaidi.

Ushauri wangu: endelea kumwagilia moyo kwakuwa baada ya kifo cha mshauri wako wa afya, afya yako itazidi kuimarika kwasababu hauna stress mkuu. Kazana kwani hata ukifa na maini mazima haisadiii lolote
 
Thread Hii Mletaji Anajitetea Kuwa Ini, Figo Zake Kama Za Mtoto Mchanga
Pamoja Na Kunywa Makushabu
 
Nitarudia kuisoma makala hii nikiwa nimepiga Kvant labda nitapata picha
 
Juzi dodoma kuna mtu nilikutana naye akanikumbusha kuwa tatizo si kufa, tatizo ni kuishi ukiwa na magonjwa yanayosababishwa na mipombe tunayobwia au mavyakula tunayokula.
 
20100 mkuu unategemea ufike mwaka huo? Yani katika kutamka ni mwaka elfu ishirini na mia moja. Na sasa tuko 2025!
 
Mkuu kwani mada yako inahusu nini hasa???

Hata mimi siwezi kukushauri uache bangi... Sababu unaipenda. Ila ntakushauri tu upunguze bangi unapotaka kupost hapa JF
 
fuata ushauri wa marehemu kumbuka huo ni wosia
 
Hata kama umemzika haimaanishi ushauri aliokupa ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…