Nimetoka kumzika mshauri wangu wa afya alieniambia nitakufa muda mfupi kwa kumix energy drink na K Vant

Nimetoka kumzika mshauri wangu wa afya alieniambia nitakufa muda mfupi kwa kumix energy drink na K Vant

Umenifanya niogope kumaliza kusoma thread baada ya kusema 20100 wote hatutakuwepo.
 
Hi jamii Ina shida Sana.
Malumbano ya Hoja ITV

Food Scientist Toka TBS anasema pombe Chakula na Haina madhara.

Daktari anasema pombe hata kiasi kidogo kina madhara makubwa kwa mtumiajj yoyote.

Kazi kwenu Wazee wa kunywa kwa kiasi.

Ifike mahala mchanganyane kulingana na majina Kama hao so called wataalam hapo juu.
 
Ukimshawishi mtu kuacha K Vant,haumuharibii biashara mtu wa K Vant.
Watu wakiacha kunywa K Vant yule mtu anayeuza K Vant atatulia,,ataamua interest za watu zimeelekea wapi na ata- invest kule.
Sasa,nimeandika tu hapo "K Vant" lakini sijui K Vant ni nini.
I think it is some kind of alcoholic beverage.
 
Usikatae kushauriwa, ukiwa na watu wanaokupa ushauri hao ni lulu.
 
Back
Top Bottom