... Nimetoka Mkoa na hela zangu za kishambaa.. Nimezimika MBEZI...tang Bovu..

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,942
Reaction score
23,893
...nimekuja kwa nia nzuri tu hapa jijini kutumia hela...

Nimejikuta nikilogeka hapa na nyama choma,, TANGI BOVU....MBEZI....

Njooni mnibebe....
 
...nimekuja kwa nia nzuri tu hapa jijini kutumia hela...

Nimejikuta nikilogeka hapa na nyama choma,, TANGI BOVU....MBEZI....

Njooni mnibebe....

Nyama choma sa10 alfajiri?
 
....aje tu lara 1 anibebe....
Kuna nyama nimeikuta jioni hapa.. Ndo ilionishawishi niendelee kukaa..

Kumbe unataka baunsa wa kike? Lara1 unaitwa huku amka kuna mgonjwa anahitaji huduma ya dharula
 
Last edited by a moderator:
wa dar mko wapi? Kijana wenu nipo jijini,.... Najua mna njaa tu.
 
We huko watu wamelala saivi bado wewe tu na nyama zako!

We ni ke au me?
 
We huko watu wamelala saivi bado wewe tu na nyama zako!

We ni ke au me?


dar hailali... and im not gon sleep..na sasa kunakucha...
Unataka jinsia yangu ili iweje.?
 
Last edited by a moderator:
i need someone to join me.!.!
Warembo wa MMU,...come please..
 
data umedata hakyanani vile!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…