Nimetoka mkoani nimekuja Dar;kuna wadada warembo kila kona

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
Habari wakuu
Aiseeh nmekuja dar kutoka mkoani kwa likizo,ni kitambo kidogo sjafika,naona miundo mbinu ya kutosha...heko kwa baba jesca...yaan ile nmeshuka ikabidi nianze mizunguko ya mtaan kwanza aseeh aseeeh sijawahi ona wadada warembo hivi,i feel like am from a zombie land nmeletwa kwenye quarantine zone....dar ladies are superb ,ikanibidi nianzee kutembea viunga vya jiji aseeeh aseeh kila mdada ni mzuri...young and beauty..sjafika bado posta nahisi huko itakuwa balaa tupu.....
Huko nlikotoka ni zombie land kabisa
 
nachojua ni wadada wenye twasira ya ubandia hadi mwili. Ukitaka umjue yukoje nunua mmoja akiingia ndani mvue wigi na mpe maji akaoge akirudi toka bafuni utamjua urembo wake sasa
 
Nakushauri kakate tiketi ya kurudi kabisa maanake hao warembo watakufilisi uanze kutusumbua.
 
Umetoka nyanda za juu kusini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasikudanganye
Wanapaka unga wa rangi tofauti tofauti usoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…