Nimetoka "New Member" kuja "Member" hadi "Senior Member" ndani ya siku mbili tu. Nipewe zawadi

Kama hamnipi zawadi nitajua mna wivu tu na mimi coz kwa siku hizi 2 nimeacha KUFANYA kila KITU nikashinda JF tu mpaka nikakaribia kupewa cheo kingine cha SINGLE na nanihino wangu!!

Moderator Active huu uzi usifutwe kama ule mwingine
IMG-20240912-WA0014.jpg
 
Mashangazi wamepigeza battle vibaya mno kwa watoto wa efu 2.
 
Hata sijaifunga. Nimeamua kuachana nayo kabisa. coz watu wanantukana tu. Inaonyesha 28 ya rangi nyekundu na mie nimeipotezea
Funga tu , haina haja wala mtu wenye akili awezi kukufuata huko pm
 
Siku hizi Wasimbe wakejigawa makundi mawili, Wengine wakajiita Singo Mazas wengine Mwashangazi.

Huwez kuta mke wa mtu au yeyote anaejiheshim akajiita hayo majina mawili.
 
Mshangazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Unafahamu sana JF, ukaamua kuja kama shangazi wakuone vizuri

Omba usikutane na wale umeisha wajua PM kupitia zao zingine..

Kuna mwenzako nae.. Kazi njema..
Nje ya BOKSI hii [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji7][emoji7][emoji7]
Kumekuchaaaaa!!! Unasanuaa wanaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunakupa zawadi ya kumchukua mtoto wa Mafwele awe wa kwako.
Kama hamnipi zawadi nitajua mna wivu tu na mimi coz kwa siku hizi 2 nimeacha KUFANYA kila KITU nikashinda JF tu mpaka nikakaribia kupewa cheo kingine cha SINGLE na nanihino wangu!!

Moderator Active huu uzi usifutwe kama ule mwingine
una
 
Back
Top Bottom