Nimetoka "New Member" kuja "Member" hadi "Senior Member" ndani ya siku mbili tu. Nipewe zawadi

Kama hamnipi zawadi nitajua mna wivu tu na mimi coz kwa siku hizi 2 nimeacha KUFANYA kila KITU nikashinda JF tu mpaka nikakaribia kupewa cheo kingine cha SINGLE na nanihino wangu!!

Moderator Active huu uzi usifutwe kama ule mwingine
Mashangazi wamepigeza battle vibaya mno kwa watoto wa efu 2.
 
Hata sijaifunga. Nimeamua kuachana nayo kabisa. coz watu wanantukana tu. Inaonyesha 28 ya rangi nyekundu na mie nimeipotezea
Funga tu , haina haja wala mtu wenye akili awezi kukufuata huko pm
 
Siku hizi Wasimbe wakejigawa makundi mawili, Wengine wakajiita Singo Mazas wengine Mwashangazi.

Huwez kuta mke wa mtu au yeyote anaejiheshim akajiita hayo majina mawili.
 
Kumekuchaaaaa!!! Unasanuaa wanaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunakupa zawadi ya kumchukua mtoto wa Mafwele awe wa kwako.
Kama hamnipi zawadi nitajua mna wivu tu na mimi coz kwa siku hizi 2 nimeacha KUFANYA kila KITU nikashinda JF tu mpaka nikakaribia kupewa cheo kingine cha SINGLE na nanihino wangu!!

Moderator Active huu uzi usifutwe kama ule mwingine
una
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…