Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yake pia mwanaumeTanzania hakuna wanawake!Mama yako ni mwanaume?nyoosha kishwahili bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe unasura ya fenesi halafu hao watoto wakafanana na wewe utafanya nini!Mbona povu jingi wewe dada ukizaliwa na sura ya limao wewe ni mbaya tuu acha wanawake wazuri wasifiwe acha wivu
Nani alikwambia binadamu tunafanana kama mapanya buku au ngiri etc kila
Binadamu na sura yake ndo maana una ambiwa ukitaka kuoa chagua angalau mwenye mvuto usije kuharibiwa watoto mwishoni uje kulaimu kama wewe huku huna namna jikubali na hali yako acha wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimangedere tu namasokweKwa hiyo hata ndugu zako wa kike watz sio wanawake?!! Wonders shall never end oo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pamoja na mama yako pia na shangazi zako na dada zako, wote sokwe ,mtoa uzi kasema bongo wanawake
Hongera Sana.Km wazuri ndo hawa kweli Tanzania tumejaliwa. Mimi tu hapo hakuna anayenifikia ata kidole
Alooh!Km wazuri ndo hawa kweli Tanzania tumejaliwa. Mimi tu hapo hakuna anayenifikia ata kidole