Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
Kama wewe unasura ya fenesi halafu hao watoto wakafanana na wewe utafanya nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nawashangaa hawa watu wanaojitia hasira kisa mtoa mada kasema hakuna wanawake bongo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..ni kama vile hawajafahamu alichokusudia....kifupi,anajaribu kusema kwamba wanawake wa rwanda wana class kuliko hawa wa bongo ukizingatia urembo na uzuri kwa jumla..sio kama alimaanisha wananchi wote wa bongo wana dushe. [emoji16]...

ila,tembea Eritrea mkuu na usilete mrejesho...
 
Uzi wa 2014 watu Bado wana reply Leo!
Jamaa mpaka alishazeeka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…