Nimetoka TAMISEMI dodoma mda huu nimejibiwa hivi kuhusu awamu ya pili ajira za walim

Nimetoka TAMISEMI dodoma mda huu nimejibiwa hivi kuhusu awamu ya pili ajira za walim

kuliko tulivosoma muda wote huu bora tungefanya mambo mengine naamini leo tungekuwa mbali kimaendeleo,lakini wametupa nafasi ya kusoma kwa gharama ya kutosha tu ila wanatunyima ajira bila sababu.
 
kuliko tulivosoma muda wote huu bora tungefanya mambo mengine naamini leo tungekuwa mbali kimaendeleo,lakini wametupa nafasi ya kusoma kwa gharama ya kutosha tu ila wanatunyima ajira bila sababu.

Kwan hakuna mtu iliye wahi kwenda TAMISEM dodoma kujua kinacho jili kwa uhakika?
 
kuliko tulivosoma muda wote huu bora tungefanya mambo mengine naamini leo tungekuwa mbali kimaendeleo,lakini wametupa nafasi ya kusoma kwa gharama ya kutosha tu ila wanatunyima ajira bila sababu.

Mkuu awa TAMISEMI ni wababaishaji nimejaribu kuongea na naibu waziri ana jibu kamili anasema tusubiri watatoa jibu na afunguki ilo jibu linatoleawa lini sasa wakuu tunafanyaje mi naona cha msingi tupange siku tukutane tujuwe hatma wa hili swala.
 
Nimetoka TAMISEMI dodoma saa moja lililo pita na Nimekutana na mdada mmoja pale ofisini(ni muhusika) na akanambia kuwa ajira huwa wanatoa kwa batch na kwa sasa wanahangaikia kwanza upitishwaji wa budget ya wizara yao coz mbali na hilo kuna mambo mengi pia yamesimama hadi hapo budget itakapo pitishwa hivyo ameniasa tuwe wavumilivu huenda mwezi wa saba mwishoni au wa nane mwanzoni baada ya budget kupitishwa ndio wataeza kuajiri lakini kwa sasa tuvute subira na tusisikilize uongo wa watu wanao zusha. Ni hayo tu wahanga wenzangu.

Kauli yako hii mkuu naanza kuiyamini tena kwa asilimia 100
 
Mtafuteni majaliwa,namba zake hizi hapa;0785205910
 
Sasa kama umepata ajira si utulie na hiyo ajira yako kiherehere cha nini.waache wanaohangaikia hiyo ajira.ila kuweni wavumilivu ipo cku mtafanikiwa.
 
Mtafuteni majaliwa,namba zake hizi hapa;0785205910

Mkuu huyu jamaa nimeongea nae jibu analotowa eti tusubiri ukimuuliza lini asemi what mean kuwa serikali aina pesa or ajira akuna tena apo ndipo wanapotupa wakati mgumu nakujiuliza mengi.
 
Mkuu huyu jamaa nimeongea nae jibu analotowa eti tusubiri ukimuuliza lini asemi what mean kuwa serikali aina pesa or ajira akuna tena apo ndipo wanapotupa wakati mgumu nakujiuliza mengi.

Ndo maana nliwahi kusema hii nchi kuna urasimu mkubwa,so lazima ifike mahali tukubali kuungana ili tuweze kuuondoa
 
Poleni sana walimu aisee ila nami nitajitahid sana kuwasaidia kwa kutoa taarifa.
 
Back
Top Bottom