style hiyo watapigwa mabomu ya machoz wjatafute njia nyingine hiyo inakasoro.
kuliko tulivosoma muda wote huu bora tungefanya mambo mengine naamini leo tungekuwa mbali kimaendeleo,lakini wametupa nafasi ya kusoma kwa gharama ya kutosha tu ila wanatunyima ajira bila sababu.
kuliko tulivosoma muda wote huu bora tungefanya mambo mengine naamini leo tungekuwa mbali kimaendeleo,lakini wametupa nafasi ya kusoma kwa gharama ya kutosha tu ila wanatunyima ajira bila sababu.
Nimetoka TAMISEMI dodoma saa moja lililo pita na Nimekutana na mdada mmoja pale ofisini(ni muhusika) na akanambia kuwa ajira huwa wanatoa kwa batch na kwa sasa wanahangaikia kwanza upitishwaji wa budget ya wizara yao coz mbali na hilo kuna mambo mengi pia yamesimama hadi hapo budget itakapo pitishwa hivyo ameniasa tuwe wavumilivu huenda mwezi wa saba mwishoni au wa nane mwanzoni baada ya budget kupitishwa ndio wataeza kuajiri lakini kwa sasa tuvute subira na tusisikilize uongo wa watu wanao zusha. Ni hayo tu wahanga wenzangu.
mie mpk sasa nshakula laki nane za serkal tangu ule mwez wa 4 wa ajra
theee..theee..umenichekesha saanaKweli utoto ni kazi hivi kimshaharabcha laki nne nichakupigia watu kelele? Yaani unaonedha ni jinsi gani ulivyo maskini.
Mtafuteni majaliwa,namba zake hizi hapa;0785205910
Mkuu huyu jamaa nimeongea nae jibu analotowa eti tusubiri ukimuuliza lini asemi what mean kuwa serikali aina pesa or ajira akuna tena apo ndipo wanapotupa wakati mgumu nakujiuliza mengi.
Poleni sana walimu aisee ila nami nitajitahid sana kuwasaidia kwa kutoa taarifa.
mie mpk sasa nshakula laki nane za serkal tangu ule mwez wa 4 wa ajra
Poleni sana walimu aisee ila nami nitajitahid sana kuwasaidia kwa kutoa taarifa.