Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Mwamba hapo umetapeliwa live.
Umepigwa mbaya, hiyo ni game umechezewa. Umepigwa pesa na umelazimishwa kupewa mwanamke wa kuoa ambaye kwao hatakiwi tena, ni mzigo kwao.

Zama hizi, unalipishwa mahari, zaidi ya 1m, tena huko Kigoma ndani ndani? Umelogwa wewe?
 
mbaya ni kua nobody cares kuhusu mtoto[emoji3064][emoji3064] inaumiza sana ndo ile wagombanapo tembo yanayoumia ni manyasi[emoji119][emoji119]
 
Hyu jamaa atakuwa anatoka jamii za wafugaji, hao jamaa wanakuwaga wana ego kali sana.
Hahahaaa, mimi sitoki jamii ta kifugaji mkuu, japo tuliwahi kufuga fuga ng'ombe wa maziwa na kuku wa kienyeji zamaniiii
 
huu uzi umstifanya tuanze kuuliza kabila la mwanamke..ukiskia muha wa kigoma...unatimka mbio
Sidhani kama ni wote wapo hivyo, ninaamini wapo wenye utu na upendo mzuri tu, wachache kama huyu wangu ndo wanafanya kabila zima lionekane baya!

Hata kwa makabila mengine, kuna watu wema na waovu, Kuna wenye huruma na makatili vile vile!
 
Baba pole sana. Siku hizi kuolewa ni dili ungeondoka tu uone ambavyo wangejitafuta
 
Waha noma sana
 
Another Single Mother in Town.

Mzee changamoto ndoto imekufanya umesahau kabisa jinsi mlivyokuwa mkinyanduana wakati wa Covid-19?
 
Mzee jitafute tu, ipunguze hiyo mahari kwa 500 nyingine, halafu muwe mnaawambia maisha yamewapiga mambo yamebadilika mnaitafuta hiyo hela miaka yote, mpk huyo mzee aombe poo.

La sivyo naskia wale ni wanga , wasije wakakuchukua msukule
 
Umefanya uchafuzi harafu unafanya fair?
 
Jishushe Kwa ajili ya mwanao..Linda damu Yako , tuma wazee wakarekebishe uoe Muishi na familia. Ondoa hisia, tafakari.
 
Jishushe Kwa ajili ya mwanao..Linda damu Yako , tuma wazee wakarekebishe uoe Muishi na familia. Ondoa hisia, tafakari.
Kama kuna kosa atalijutia ni kurudi kwa huyo mkwe wake kilaza wale watu wanavuta bangi kuliko Bob Marley.... vichwa vimejaa moshi na ulanzi.
 
Mzee jitafute tu, ipunguze hiyo mahari kwa 500 nyingine, halafu muwe mnaawambia maisha yamewapiga mambo yamebadilika mnaitafuta hiyo hela miaka yote, mpk huyo mzee aombe poo.

La sivyo naskia wale ni wanga , wasije wakakuchukua msukule
Hahahaaaa, kuchukuliwa msukule tena mkuu....
 
Kama kuna kosa atalijutia ni kurudi kwa huyo mkwe wake kilaza wale watu wanavuta bangi kuliko Bob Marley.... vichwa vimejaa moshi na ulanzi.
Hahahaaaa...vichwa vimejaa moshi n'a nini vileeee???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…