Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Kaka pole sana kwa yaliyotokea
Mimi nakushauri huyo mwanamke usimwache kaonyesha yuko upande wake ndo maana aling'ang'ania muondoke wote. alijua fika huwezi kurudi kwa namna mambo yalivyoenda. endelea kuishi naye na hiyo mahari punguza taratibu siyo lazima kumaliza, waweza kutoa m 1.5 na maisha yakaendelea.kuliko kumwacha hiyo dhambi itakutafuna sana.
 
Ahsante sana kwa ushauri wako!
 
wakati nakua miaka ya 1980s mahari hapa tarime ilikuwa ni ng'ombe wakubwa 30 hadi 50. ninaposema wakubwa nina maanisha ukiuza kwa bei ya sasa ni shilingi kati ya laki nane hadi milioni mbili ng'ombe mmoja
na wakwe walikuwa wanakuja kufuata wenyewe, unawatengea hao ng'ombe kisha wanachagua asiye faa uwabadilishie-ndama anayenyonya hakuwa akihesabiwa
Siku hizi tunaolea ng'ombe 8 hadi 4 wowote hata kandama kanakonyonya kanahesabiwa
 
Mambo yanabadilika!
 
Hivi ni kila mtu ana hao wazazi?
Yaani niliyekwenda naye (Kaka yangu mkubwa) ndiyo kama baba yangu, otherwise wanataka nikamfufue baba yangu ili akajieleze huko ukweni?
Bro mi pia sina wazazi,WOTE. lakini sitokei kwenye miti. kuzaa ns kuishi na mtoto wa watu bila kufuata utaratibu ni makosa sana.ziko njia za kistaarabu za kufuata kutengeneza hayo mahusiano.ukikosea usiwachaguliie adhabu.unakosea kuwalaumu..pa hivyo kaka ako tu hata na jirani yenu angetosha kukuwakilisha. ni matusi kwenda kwenye nyumba ya mwanaume mwingine baada ya kuwa umemgusa gusa mwanae na mtoto juu afu unavimba!
 
Kwenda n'a Kaka yangu ilitosha kabisa wao kuona dhamira yangu kwao, kuniambia ningechukua majirani kutoka Dar mpaka Kigoma ni upuuzi tu, hao ndo wangebadilisha nini?
Waliamua kunikomoa tu, n'a nimekomoka kweli kweli...
 
Kigoma ipi unaongelea. Nimeishi huko nikiwa mfanyakazi wa Shirika la Caritas mbona hizo tabia sikuwahi sikia?
 
Hahaha
 
Wakwe wenyewe Sasa .

🟦 Timu ya mashujaa

🟦 Mwijaku

🟦 Baba levo

🟦 Mr. Pimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…