Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Huu ndio uchoko.. kwani mimi sikubebwa mgongoni na mama yangu? Asingembeba sasa
Mila na desturi zetu zina changamoto nyingi mno, ukihoji kihivyo utajikuta unakuwa wa kulumikia kila kitu...

Dunia inam-favour mwanamke sanaaaa, imagine ukimuoa tu, unatakiwa umlishe, umvishe, umpe pesa ya kusuka, mafuta ya kupaka sijui hereni,bangili n.k

Wakati huo huo unatakiwa kumridhisha kitandani, asiporidhika analiwa na mwingine/wengine hata kama umemlipia milioni 5.



Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
*kulalamikia

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu panaitwa Nguruka nimeshafika jamaa yangu alipigwa laki 8 kwa mtindo huo.
 
Hakika natamani siku zingerudi nyuma nifanye marekebisho ya maamuzi yangu...

Nimefika zangu home usiku huu nakuta wife (ambaye bado sijafunga naye ndoa, japo nimeshakwenda ukweni kujisalimisha)

Nimeingia ghafla nimemkuta shemeji yenu akifanya maajabu,sasa sijui ni ushirikina???
 
Maajabu gani? Angalia usije ukawa na hisia mbaya tu
 
Fafanua, kama wa kigoma wanaamini sana dawa za waganga. Nilikaa na muha mmoja msomi kabisa anafanya kazi benk anatembea na dawa ya kuzuia kuibiwa hela, na nyingine alichanjia akipigwa panga au kisu kisiingie, ajabu alikuja kuibiwa hela njombe stand karibu nanl kanisa katoliki
 
😅😅😅
 
Yaani we acha tu...
 
Kosa ni kwenda wewe ilihali ulisha chafua mtoto wao, Baba wa binti kahesabu kama ni dharau umeonyesha japo hajakuambia kwamba kosa lako ni wewe kwenda.

Hukutakiwa kwenda wewe cha kufanya ungetuma wazee wenye hekima na busara wanao karibiana na umri wake au wanao mzidi umri huyo baba wa binti wakaongee kiutu uzima.

Solution


Huyo mwanamke anakupenda mpende mwanamke wako na huyo ndiye mkeo, Kuhusu baba mzazi watume wazee wenzake wakayajenga, na kamwe usihesabu makosa ya baba yake.

Kumbuka " Wazee wanamsemo wao kua mzazi hakosei" japo wanajua mzazi anakosea ila ndiyo hivyo tunaishi humo humo.
 
Pole sana, mambo yao waachie wenyewe, fanya mambo mengine...
 
Jambo dogo sana hili mkuu kama ni mtu wa familia huwezi muacha mtoto akalelewe malezi mengine na mama au baba mwingine na huwezi muacha mkeo kizembe hivyo, pesa inasahaulika lipa Mali hiyo taratibu taratibu malizana na mzee kisha kimbilieni kwa Yesu mpate amani ya kweli lakini usiache familia yako kisa hasira za mzee wanadamu tumepishana kifiķra a real man dies for his family na sio kuwa Kigoma ni mbali kuoa huko watu wana oa U.S.A na Asia wewe unahofu Kigoma hapo tu ni karibu sana na ndoa ni mpango wa Mungu. Na katika hili huwezi kukwepa ubaya wa hiyo familia kwa kuikimbia kwani tayari kwa kuzaa na binti yao umeisha unganisha undugu nao huwezi waepuka kama ni ubaya utafanyiwa either umuache binti yao au usimuache kama wamekusudia ubaya huwezi epuka kikubwa komaa na familia yako na malizana na mzee na usisahau kukimbilia kwa Yesu.
 
Hapo nimepata jambo moja la msingi kuwa vijana wengi wanaingia kwenye mahusiano bila kujuana vizuri!!Mume hamfahamu vizuri mke na mke naye hamfahamu vizuri mume wake na ndiyo chanzo kikuu cha matatizo kwenye ndoa!!!Ninaposema kujuana au kufahamiana vizuri ninamaanisha kuujua vyema utu halisi wa mwenzako,anapendelea nini,utamaduni wake nakadhalika!Ngoja nikupe kisa kimoja,kaka yangu ameoa mtusi!Enzi zile tunaambiwa tuanzishe utamaduni "mpya" wa kujifukiza alimkuta kaka anajifukiza!Ghafla alikimbia na kushtaki kanisani kuwa amemkuta mumewe akifanya "uchawi". Mimi sikumlaumu kwa hilo kwa sababu mbele ya macho yake kujifukiza ilikuwa ni uchawi!Laiti kama angeujua utamaduni wetu asingeshtuka!!
 
Unaita mkwe mchizi boti?!🤣🤣
 
🤣 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…