Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Uzi darasa tosha sana huu
 
Pole kwa fedheha iliyotokea ila kwa umri wangu wa miaka 46 na uzoefu wa kutosha wa Mahusiano, brother una Mke Mwema sana, tena sana! Usimhukumu mkeo kwa Akili ya Baba yake, Dunia ya leo ukimpata mke anayekupenda na kukujali kwa dhati mshukuru Mungu, naona huyo Mke anakupenda, usimuache.
 
Na anaweza akatumia zaidi ya hiyo million4 na asipate mke mwema. Bora amchukue huyo mke kama ni mwema kwake. Million 4 inatafutwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…