Nimetokea kuichukia wimbo wa Mtoto Kautaka, kwa namna moja au nyingine umehusika kuchochea maovu

Nimetokea kuichukia wimbo wa Mtoto Kautaka, kwa namna moja au nyingine umehusika kuchochea maovu

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Pamoja na kuwa huo wimbo ni wa hovyo, ila wale wabakaji walipiga nyimbo zinazovuma siku hizi.

Ya nini kuchukia nyimbo hizo..?

Mbona hiyo ni delusion!
 
Back
Top Bottom