Nimetokea kuichukia wimbo wa Mtoto Kautaka, kwa namna moja au nyingine umehusika kuchochea maovu

Nimetokea kuichukia wimbo wa Mtoto Kautaka, kwa namna moja au nyingine umehusika kuchochea maovu

Huyu Jaiva naye utakuta katanua mabega mtaani anajiita msanii.
 
Basi sawa, tutaimba za kuhamasisha ujamaa na kujitegemea.
 
Vipi ule wimbo wa Ameyatimba...

🎶Mshike huyo hatoki mtu, Nimeupaka mkongo, hatoki mtu🎶

Ameyatimba...
 
Nimetokea kuuchukia sana huu wimbo😡😡

Huu wimbo umehusika kuchochea maovu na huenda utazidi kuleta maovu mengine mazito .

Kila ninapousikia huwa nahisi namuona yule binti akiomba maji..
Wasanii wa Bongo,wana mtindio wa ubongo
Hawajui wanachoimba athari zake kwa jamii
 
Wasanii wa Bongo,wana mtindio wa ubongo
Hawajui wanachoimba athari zake kwa jamii
Wengi wao hata sio wasanii, hakuna talent, ni wahuni tu wameokotana mtaani kwa sababu ya ukosefu wa ajira nyingine nzuri.
 
Nyimbo nzima inasikika kautaa kautaa nifull makelele
 
Back
Top Bottom