Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Manyimbo ya uswahili mwingi 🤔
HakikaMiziki ya kibongo yote sahivi
Ina hamasisha ngono tu
Ova
Nchi ishachafuka watoto washavurugwaHakika
Nchi ishachafuka na mfumo ndiyo unapenda hiviKuna mwingine wa Mbosso nao wa kubakaji ubakaji unapendwa sana
AmeyatimbaKuna mwingine wa Mbosso nao wa kubakaji ubakaji unapendwa sana
Kweli kabisSasa wakiimba nyimbo za kuamasisha kilimo,uvuvi na ufugaji nani atasikiliza mkuu,,.
Si uungwana kuendelea kufanya rejea kwa tukio linalohuzunisha wengi. Ni ishara kuwa unalifurahia!ninapousikia huwa nahisi namuona yule binti akiomba maji..